The Kilimanjaro stars 1 Ivory Coast 0 hongera nafikiri hii ni baada ya miaka 16 bila kuwa na kombe la Challenge.
Tuombe tena michuano inayofuata Kikwete asiende uwanjani au apate safari ya...
Jana, michuano ya soka kwa nchi za Afrika Mashairiki na Kati maarufu kama Kombe la Chalenji ilifikia tamati baada ya kufanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 27 ambapo...
WanaJ, mimi bado niko njia panda, kwa sasa kuna mashindano ya CECAFA yanaendelea ambapo kuna timu ya Tz inafanya vizuri. Kwa nini mara ingine initwa Taifa stars na wakati mwingine Kilimanjaro...
TUNASTAHILI KWAPONGEZA JUMA NYOSO NA KELVIN YONDANI pia na MWASIKA plus nahodha. Tuache u simba na yanga, kweli beki zilitulia kuanzia siku ya uganda, kwazibiti kabisa uganda kama Emma Ukwi. Kweli...
Kwa juhudi maksudi na za dhamira njema zilizofanywa na JMK za kuinuwa Michezo, Hususan kandanda, leo tutashuhudia Tanzania ikinyakuwa kombe la Challenge baada ya miaka mingi sana.
Hongera...
Wakuu..
Nitawezaje kupata channels za hapa kwetu ukiondoa Ch. Ten, TBC 1 TBC 2wa kutumia king'amuzi tajwa hapo juu?
Kua mdau alichangia post fulani akaweka maelezo haya
"Setup ni kuwa 1.Click...
Salama wakuu?...Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza na kuwazua na kujiuliza maswali kibao juu ya vigezo vilivyoipa Star TV mkataba wa kuonesha moja kwa moja michezo ya VPL....Pamoja na kushinda...
...huwa nafuatilia sana taarifa za habari za hapa bongo na vituo vya nje kama CNN, BBC na SANBC. Vituo vya nje vinapotangaza matokeo ya mechi fulani ya soka huwa lazima virushe clip za mabao...
Vipi gem ya leo ndugu zangu? jinsi Man U ilivyo kwenye form siogopi kuahidi mvinyo kwa watu watakao kua karibu na meza yetu, karibu tunywe hope nitakua san ciro
Inaonekana kila ukikanyaga tunafungwa sasa uamuzi ni wako kama unataka tushinde au !
Kumbukumbu za karibuni
Tulifungwa mechi muhimu na msumbiji-Ulikuwepo, na Morocco ambako ulipiga kampeni na...
leo mashindano ya challenge yanatarajiwa kuanza leo ni timu yetu ya taifa itatimuana na Zambia katika ufunguzi wa mashindano haya
Tanzania itawakilishwa na zanzibar heroes na kilimanjaro heroes...
Salaam wanaJF. Leo mahala ambako mpenda soka anatakiwa awe ni Uwanja wa Taifa. Poleni kwa wale ambao hawatakuja kutokana na sababu mbalimbali. Msijali nitawawakilisha vyema.
Wanajf na wapenzi wa mpira wa miguu, naamini kuwa sote ni wenye furaha baada ya ushindi wa timu yetu. Hata hivyo naamini kuwa ushindi huo hautakuwa na maana yoyote, iwapo Tanzania haitakuwa...