Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

WWE ilipata pigo kubwa wiki iliyopita baada ya John Cena kutimuliwa. Juzi Jumatatu katika ukumbi wa Wells Fargo Centre,Philadelphia,Cena alionekana katikati ya mashabiki akiwa na tiketi yake...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Watanzania ni vema tukampatia ushauri wa bure kocha wetu wa timu ya taifa ili afuate nyayo za Maadam Ritha anavyofanya katika kutafuta vipaji badala ya kutegemea wachezaji waliochwa na MAXIMO. Ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inasemekana timu ya taifa ya tanzania haijawahi kuibuka na ushindi ikiwa inashuhudiwa na rais kikwete kama mtazamaji au mgeni rasmi na kwamba mara zote hizo imekua ikiambulia kichapo au sare...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani nimeiona stars ikicheza na zambia kwa kweli ilinisikitisha kwa kutokuwa na mpango mzuri wa mashambulizi Kwa sasa naiangalia ikicheza na timu dhaifu ya Somali matatizo ni yale yale tunakosa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Three senior Fifa officials who will vote on the 2018 and 2022 World Cup bids took bribes in the 1990s, according to the BBC's Panorama. Nicolas Leoz, Issa Hayatou and Ricardo Teixeira...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mnaoicheki mechi Ya Barca vs Real,kwa mtazamo wangu ni kama vile Wenger the professor ameibiwa baadhi ya mbinu na hawa vijana wa Katalunya. Halafu huyu Messi amekula kizizi gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KAMATI YA NIDHAMU TFF IMEKOSA NIDHAMU IJIUZULU Kamati ya nidhamu ya TFF iliyo chini ya mwenyeiti wa Sunday Kayuni imekosa nidhamu kwa Watanzania na inapaswa ijizulu. Kamati hii ilifanya kituko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inasikitisha shirika la tbc mnashidwa kuonyesha mpira mnakalia maojiano na Sakirojo chambua wakati supersport,Kbc, wanaonyesha mpira wa ivory cost na rwanda nyie mpo katika mahojiano huo ni upuuzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KAMATI YA NIDHAMU TFF IMEKOSA NIDHAMU IJIUZULU Kamati ya nidhamu ya TFF iliyo chini ya mwenyeiti wa Sunday Kayuni imekosa nidhamu kwa Watanzania na inapaswa ijizulu. Kamati hii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
haya hayaaa! Ni barcelona v real madrid! Ka vp tuanze kupeana tathmini ryt now pamoja na utabiri pia. BARCELONA WIN - LOSE REAL MADRID but kwa bao ngapi, ngoja twoneee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna shaka watanzania wote jana tulishuhudia kandanda safi na ya kujituma kwa ndugu zetu wa zanzibar ukweli kike kikosi kilitimia na kwa uchezaji wao wakiwapo na mashirikiano wakiwa uwanjani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Si kama nina chuki binafsi ila ctaki kukiamini hiki ambacho huyu mrithi wa maximo alichokifanya cha kumteua mwai kimba staz na kumuacha mgosi hivi kweli linaingia akilini au hiyo staz ni ya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Torquay v Carlisle Norwich v Droylsden/Leyton Orient Preston v Nottingham Forest Tottenham v Charlton/Luton Stoke v Cardiff Hull v Wigan Man United v Liverpool...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnaweza kufutilia vinara wa tennis wakipambana Sasa hivi kuna mechi ya Djokovic na Adny Roddic Tarehe 27 kuna mechi ya Ady Murray na Nadal Live stream ipo ATDHE.Net - Watch Free Live Sports TV
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Timu yetu ya Taifa ya Kilimanjaro Stars itaendelea kufungwa na kufanya vibaya ktk mashindano mbalimbali hadi tutakapo tambua haya yafuatayo: 1. Kwamba ile ni timu ya Tanganyika (Tanzania Bara) na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wadau wenzangu wa "the red devil" hivi kweli kwa kikosi tulichonacho tunaweza twaa ubingwa kweli? au tunahitaji watu wa kuongeza nguvu kwenye usajili wa january......
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Guinea yashumbaliwa kuchezesha madume Sauzi. Friday, 26 November 2010 09:39 ABUJA, Nigeria SHIRIKISHO la Soka la Nigeria (NFF) limetoa malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Soka la Afrika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Justin Bieber and Kim Kardashian
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikicheza ndani ya Dakika 30 za mwisho huku wakiwa pungufu uwanjani Klabu yenye mafanikio kuliko klabu zote hapa Duniani yaani AC Milan imeweza kuwabamiza klabu ya Inter kwa goli moja kwa bila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…