Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5...
4 Reactions
4 Replies
685 Views
Salam. Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi! Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni...
9 Reactions
54 Replies
1K Views
Hizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji, Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
China imejinyakulia medali mbili za dhahabu za kwanza kabisa katika mchuano ya Olympics inayoendelea huko Ufaransa.
2 Reactions
4 Replies
373 Views
Straika Rasmus Hojlund na beki aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 52, Leny Yoro wamepata majeraha wakati Timu yao ya Manchester United ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal kwa magoli 2-1...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana.. Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid. Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa Gen-Z ndiyo wanachukulia poa ila utamaduni wa Yanga miaka yote ilikuwa ni marufuku kushobokea rangi nyeupe au nyekundu. Hawa jamaa ilikuwa manjano na wao na wao na manjano. Kama ni...
4 Reactions
4 Replies
840 Views
Hongera sana kwa aliyekuwa Jirani yangu Misufini Morogoro Mdogo wangu Dickson Job na Dube kwa kujua Kucheza.
4 Reactions
9 Replies
634 Views
Hii ni moja ya timu yangu pendwa sana ila nashangaa Sasa hivi sijui ndio pesa hamna aisee yaani huyu mtoto Nico Williams anatutoa jasho aisee haya mateso ya hii klabu yangu kutoka moyoni yataisha...
4 Reactions
25 Replies
875 Views
Huyu ni Pyar Kalho Naho Mwanasoka nguli wa India na adui mkubwa wa Nigeria Kulingana na hadithi, mwishoni mwa miaka ya 1970, wakati wa mechi kati ya India na Niger, Kalho Naho alichukua jukumu...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
All in all Sheri ngowi kazini kwake kuna kazi . Baada ya simba kuchukua designers wake wa jezi . Jamaa kila design mpya ni mbovu . Amerudia sana Jezi mpya . Inshort sio talent yake anatafuta...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Katika ulimwengu wa michezo, hususan soka, uongozi na mawasiliano ni sehemu muhimu sana ya mafanikio ya klabu. Klabu ya Yanga, moja ya klabu kubwa na yenye historia ndefu nchini Tanzania, hivi...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
EXCLUSIVE; Mshambuliaji Kibu Denis Prosper amerudisha pesa zote ambazo alilipwa na klabu yake kama Signing Fees pamoja na mshahara wa mwezi mmoja kwenye Account ya Simba NMB. Kibu Denis Prosper...
9 Reactions
205 Replies
7K Views
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka Africa ya kusini, na kwamba Makocha kadhaa wamehudhuria, wakiwemo Ibenge na Cisse wa Senegal Pia Rais wa Yanga ameonekana kujichomeka kwenye hafla hiyo, Japo...
6 Reactions
30 Replies
846 Views
#MsasaSports YANGA SC YAINGIA KWENYE HISTORIA YA HIGHLIGHTS YA MECHI YAO KUWA NDANI YA YOUTUBE YA BUNDESLIGA... Na Godson Mbilinyi Unapotaja Ligi Kubwa za Soka duniani huwezi kuiacha Ligi Kuu...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Akili kichwani. Hisia moyoni. Vaa usivae utajua wewe mwenyewe,ila kuna mambo yakipuuzi sana simba hivi hawakutazama kwa jicho pili?
3 Reactions
7 Replies
426 Views
Msikie alichokizungumza Mchezaji wa Simba Kibu D baada ya sitofahamu inaendelea kati yake na Klabu yake na Simba Ambapo hapa ameeleza kila kitu na kumuhusu Meneja wake ambaye ndiye alikuwa anatoa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga. 1. Pre season vs Augsburg fc Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo...
6 Reactions
99 Replies
13K Views
Wengi wanaona kama Kibu hana ustaarabu anawafanyia Simba uhuni. Nimejiridhisha Kuna kitu hakipo sawa na Kibu anaenda kuwavua nguo viongozi waongo wa Simba mbele ya mashabiki wao. Kibu Ali sain...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…