Neno "Sanda" kwenye jezi ya Simba, nina uhakika halijakaa pale kwa bahati mbaya. Simba kuna viongozi wapumbavu sijawahi kuona. Na ndio maana sioni Simba ikienda mbali kwa hawa viongozi wasio na...
Hao mashabiki huibuka muda wowote pale wanapotupiwa jero ya maji na wanatesa mjini kwa sababu ya ujinga wa wajinga hao.
Hao wajinga utawakuta msimbazi ila kwa wingi wao wapo pale jangwani...
Napendekeza Kwa uongozi wa Simba Sc ikiwezekana mwanamuziki Fally Ipupa- wa Congo aliye kwenye viwango vya juu atumbuize siku hiyo.
Yanga wamekuwa wakimleta Koffi Olomide.
Baada ya kudumu kwenye kikosi cha Manchester City kwa miaka 9, inadaiwa Kevin De Bruyne yupo njiani kuondoka kikosini hapo kuelekea Al-Ittihad inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro...
Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu...
Kwenye haya mambo ya termination of contracts Yanga walikuwa smart sana ila makolo mlikaza vichwa.
Turudi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yanga sc waliwatadhalisha kwenye sakata la FEI TOTO...
Timu hii kule nchini Ujerumani inacheza daraja la 6 (Verbandsliga Hessen Süd) wakati huku team ya Mashujaa ilikuwa inacheza daraja la kwanza, hapa ameula au hoya hoya Wakuu?
====
Aliyekuwa...
Hakuna mchezaji mkubwa atakubali kucheza kombe la waliofeli [emoji15]
Kama utakuwa na akili ya soka utaelewa, ndoto ya Kila mchezaji ni kucheza CAF championship (Yanga) na sio kombe la waliofeli...
Za ndani kabisa. Kibu hakupewa milioni 400.
Kibu alipewa milioni hamsini tu na hiyo ni sehemu ya deni lake la nyuma ambalo alikuwa anawadai Simba hawakummaliziaga signing fee yake.
Kwa hiyo...
Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Mashindano ya Olympic ya video game (Esports) ya kwanza yatafanyika Saudi Arabia 2025.
Esports zimekuwa serious kwa wenzetu, mashindano ya PUBG yanayoendela sasa yana jumla ya zawadi zaidi ya...
Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote...
Baada ya majadiliano ya jana baada ya uzinduzi wa jezi, nimepata wasaa wa kutafakari mtazamo wangu nilioutoa jana. Nitaelezea kwa ufupi sana ila huu utakuwa mchango wangu wa mwisho kwenye mada...
Ukiwa na aibu kuna mambo fulani utajizuia kufanya mbele za watu hata kama unatamani sana na una haki ya kuyafanya.
Miaka hii miwili matatu tunaona wimbi la watu kutoka Simba kuelekea Yanga kwa...
Wananchi Yanga SC kucheza mchezo wa pili wa kimataifa, Jumatano hii watacheza na TS GALAXY wenyeji wa mashindano ya Mpumalanga Premier International Cup
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni...
Habari za weekend wadau wa soka na wapenzi wa kandanda barani Africa na Tanzania kwa ujumla nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania:–
Leo majira ya saa 4–usiku watakutana muamba ya...
BAYER 04 LEVERKUSEN
VS
ATALANTA BC
Mabingwa wa bundesliga bayer leverkusen kumenyana na atalanta fainali ya ligi ya europa.
Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Europa League...
Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba
Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za...