Hii haikubaliki hata kidogo, Neno Sanda haliwezi kukaa mbele ya jezi ya klabu yetu, tena kifuani kabisaa.
Uongozi wa Simba mbona mmelala sana?
Haya mambo yanawezaje kufanyika na ninyi mpo?
Hata...
Usinchoshe na Nsikuchoshe,Tusichoshane!
Kwanza nikiri ya kwamba Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Young Africans
Nikiwa kama mdau wa soka na mpenda maendeleo ya mpira,nimekuwa nikivutiwa na namna...
Habari wana JF.
Hivi ni kweli watu unapiga pesa kupitia company za betting au kubashiri kuhusu mpira au baadhi ya michezo mengine.
Kikwel sijawh kuon mtu kapata pesa kupitia betting wala sidhn...
Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo...
Tuweke kwanza pembeni ukweli kuwa huyu muuza nguo anayejiita Sandaland aliyewekwa front kwanza hajui kuvaa sasa sielewi inakuwaje anafanya biashara za nguo wakati anavaa kama Kibu Denis.
Twende...
Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza.
Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto.
Wote...
Wakati feisal kaingia mitini huku akiwa na mkataba Yanga kuliibuka kundi kubwa la mashabiki wa Simba wakimsupport ile mbaya wakidai ni haki yake
Haya sasa imetokea kwao kwa kibu dennis nategemea...
wachezaji wa Riadha katika mashindano ya Olympic ya mwaka huu 2024 Paris yatakayo fanyika Nchini Ufaransa huenda kikosi Cha timu ya Tanzania iliyo tarajiwa kwenda kwenye mashindano hayo wasiende...
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
Crescentius Magori kakabidhiwa tu jukumu la usajili simba imejikuta iko kwenye migogo mingi ya usajili kama ya lameck lawi, kagoma, awesu awesu na kibu dennis hata chama simba wanakuja shtuka...
Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya...
Hizi sarakasi za wachezaji wazawa na mikataba hazitaisha.
TFF waanzishe semina kwa wachezaji wote wa ndani na wa nje wanaocheza hapa nchini kabla ya kuwapa leseni wapewe semina ya mikataba.
Kila...
Lipo jamaa moja linadai limefunguliwa na TFF likidai kwenye eneo la usemaji halina mpinzqni, kwa hili la leo la Ahmed Ally Mashine ya kuongea, aaaah wana simba tumepata msemaji.
Huyu bwana kwanza...
Moja ya nguvu kubwa ya binadamu aliyopewa ni uwezo wa kufanya chaguo(Choices). Japo knowledge yangu bado ni limited, ili sina imani kama hata malaika wamepewa nguvu ya kufanya machaguo kama...
1. Aliujuwa mpira na mpira ulimjuwa na ulimfuata.
2. Mara nyingi alipo uagiza ulifika kwa mlengwa.
3. Ukimuuliza Zidane ni kipi anajutia kwenye Soka?!
Hatokwambia ile Kadi Nyekundu kwenye final ya...
Kutokana na sintofahamu na tetesi zinazoendelea kuhusiana na Denis Kibu (mpaka leo sielewi kwa nini watu wanamuita Kibu Denis badala ya Denis Kibu lakini hilo tuliache kwa leo), nimekumbuka kauli...
Klabu ya Simba inautaarifu Umma kuwa mchezaji wake, Kibu Denis Prosper hajaripoti kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa mwaka 2024/2025.
Tunapenda kuutarifu umma kuwa Simba...
Kibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu
Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede...
Mchezaji superstar na tegemezi wa timu ya simba Kibu denis, yupo nje ya nchi kukamilisha mazungumzo na klabu yake mpya ya ubeligiji inayocheza ligi daraja la pili, mchezaji huyo alisaini dili...