Ni wa kuonea huruma, yaani akibahatika kumgonga APR ya Rwanda, yupo Mayele na Pyramid inamngojea, sawa waswhili wanasema mpira huwa unadunda lakini siyo kwenye tope.
Azam huko ungeachia wazoefu...
Usiku wa leo, Katika dimba la Maracana pale Brazil, kutapigwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Argentina Vs Brazil kuanzia saa 9:00 Usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Mara ya mwisho Argentina...
Nauliza tu huyu jamaa ambaye huku ni mchambuzi wa mpira Crown FM huku ni CEO wa JKT Tanzania ataweza kutofautisha vipi haya mawili?
Asije kuongea kwa hisia akajikuta amefungiwa muda mrefu TFF
Hahahaa sakata la Aziz Ki bora limeisha. Ukwelii Aziz alishaingiziwa mzigo akiwa huko kwao.
Kilichoendelea ni kuwachezesha Simba viongozi kadhaa wamempigia wakaimba naye weee akawaahidi akitua...
Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu...
Moja ya mabeki bora kabisa upande wa kulia kwa sasa ni Kevin Kijiri, hii mbavu ya kulia sio ya kawaida.
Yaani siku hyo na Utopolo kikosi kitakuwa hivi kudadeki.
Kipa Ayoub Lakred
Kulia Kevin...
Chonde chonde, viongozi wa serikali hakikisheni club hii yenye nasaba na Uhuru wa hii nchi (Dar es Salaam Young Africans)
1. Inambakiza Aziz Ki (kwa makusanyo ya ndani hususa ni bandarini)
2...
Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda.
Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira...
Klabu ya Yanga wamealikwa kushiriki michuano ya Mpumalanga Premier's International Cup nchini Afrika Kusini [emoji1221]
Timu zitakazoshiriki:
[emoji1221] TS Galaxy
[emoji629] Augsburg
[emoji1241]...
Yaani taarifa nilizozipata wakati Mwandishi wa Azam anasimulia leo kiukweli kusubiria Simba day ni mbali na parefu sana.
Vijana japo wana siku ya 4 lakin wanatandika pasi sio kawaida, timu...
Jana au juzi Hersi ameulizwa kuhusu Aziz kuendelea kuwepo yanga ama ataondoka na akajibu vema TU kuwa mazungumzo yanaendelea na Aziz bado hajasaini huku jibu lake likionesha wazi kukata matumaini...
Inahitaji jicho la kiinteligensia kujua baadhi ya mambo yanayoendelea nchi hii.
Watu wameshangaa inakuwaje Aziz Ki akatae zaidi ya milioni 90 kwa mwezi, tofauti labda ya zaidi ya milioni 60 ya...
Hata atuoneshe dharau, dogo anaupiga mwingi mbaya. Kila mechi anapasua watu. Leo kapiga kamoja Al Ahly wakishindaa 3 kwa 2 dhidi ya Pyramids.
Akiwa na magoli 14 mwanaume mwamba wa Congo...
Huyu mwanaume alivyo na krosi dongo, Mukwala au Fungafunga washindwe wenyewe.
Mechi moja tu ya Kijiri inatosha kumpeleka Stars.
Mbavu hii haina tofauti na ile mbavu ya kulia ta Mamelodi.
Kijiri...
Kabla ya hapa nilikuwa nashangilia Denmark, hii ni kwa sababu kwenye vijjiji vya Kwetu Kyela viliwekewa Maji ya bomba kwa mara ya kwanza na Nchi ya Denmark kupitia shirika la DANIDA, yaliitwa maji...
Kuanzia asubuhi jioni wao uwe mpira tu anayeshindwa apigwe rock up, hayo ni maneno aloyasema kipindi cha nyuma Ikulu, kutokana na matokeo mabovu ya stars ya kila wakati
1. Kwa Makusudi Wachezaji wetu Mahiri hasa wa Kigeni Kuchezewa Rafu mbaya katika Mechi Tatu za mwanzo za Ligi
2. Maadui kwenda Bunju huku wakiwa wamevaa Jezi zetu na baada ya Mazoezi wanakusanya...