Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama. Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu...
16 Reactions
32 Replies
1K Views
Ogopa sana kuwa mjinga wakati una akili zako timamu,Na ogopa sana kuwa mtumwa wakati uwezo wa kujitegemea unao.Ni wivu tu ambao umejaa na husda ambazo zinawatafuna Nzala ambao hawana...
4 Reactions
4 Replies
314 Views
JUST IMAGINE HUKU CHAMA , HUKU PACOME HUKU AZIZ KI [emoji119][emoji119][emoji91] WANANCHi Yanga sc wamemtambulisha mwamba wa lusaka Clatous Chota Chama kama nyota wao Mpya kuelekea msimu ujao...
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Imethibitika kuwa kocha la makombe..aka kocha la CAF champions league Gamond anawachora Simba wanavyosajili cheap labor badala ya kusajili quality players Sababu Gamond anaamini Ili kuwe na...
9 Reactions
47 Replies
965 Views
kumbe vilabu huwa vinaenda kushiriki mashindano ya kimataifa kama tu mazoezi na siyo kushindana kuwa bingwa? kazi ipo hakyanani...!!
3 Reactions
0 Replies
255 Views
Unakionaje kikosi, forget about formation.
2 Reactions
26 Replies
930 Views
Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu. Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo...
14 Reactions
35 Replies
2K Views
Ukitaka kuona vituko basi njoo kwenye club ya simba dirisha hili la usajili wanasajili wachezaji na kuacha bila kuwa na kocha mkuu unajiuliza mwekezaji wa simba mo dewji ana akili kweli Makosa...
12 Reactions
80 Replies
2K Views
Salaam, Viongozi wa Simba mnapaswa kufanya usajili kutafuta mbadala wa LAMECK LAWI wakati mkitafuta suluhisho la mgogoro huo. Msisubiri muda unaenda sana. Tafadharini najua mtaenda CAS ila kwa...
2 Reactions
2 Replies
459 Views
Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Klabu ya Simba tumethibitisha kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast 🇨🇮 kwa mkataba wa miaka miwili. Ahoua mwenye umri wa miaka 22 amesajiliwa kutoka klabu ya...
17 Reactions
87 Replies
4K Views
Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025. ==== Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota...
2 Reactions
22 Replies
924 Views
MASHABIKI WA SIMBA WAMFATA CHAMA YANGA "Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga...
4 Reactions
44 Replies
1K Views
Yaani GENTAMYCINE na akina Magori pamoja na Mafia wengine akina Nkwabi na Idi tuweke Silaha zetu chini na turejee Kuipambania Simba SC yetu kwa kutumia ule ule UMAFIA wetu unaoogopeka na Washamba...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
“Ni mchezaji huru, ni mchezaji mwenye kutaka wazo la kwenda kucheza, lazima mjue Chama ni Mzambia na shughuli yake ni kuchez mpira, msubirini chama mumuulize yeye mwenyewe, sisi kama Simba...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Augustine Okrah jana ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Yanga, sitaki kuwachosha saaaana ila huyu mwamba sio mtu wa kawaida, kama uliwahi kumuona marehemu Celestine Sikinde Mbunga basi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
GENTAMYCINE niliposema wenye Simba SC yetu sasa tumerudi Kundini na Kazini nilikuwa ninamaanisha. Kudadadeki.
4 Reactions
15 Replies
949 Views
Mgunda has created a conflict of interest by working for both Taifa Stars and Simba SC. 1. Favoritism from Simba players: Mgunda selects benched Simba players to play for Taifa Stars just because...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Sisi mashabiki wa Yanga tumesononeka na kifo cha Yusuph Manji. Lakini viongozi na taasisi ya Yanga hawajaupa uzito msiba huu wa kiongozi aloyejitoa muda, nguvu na zaidi pesa zake kuijenga na...
6 Reactions
62 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni moja ya watu wenye vipaji na amekuja tofauti kabisa na comedian tuliowazoea. Comedian wenye hutumia maneno kuchekesha, lakini yeye anafanya komedi ya soka Je, ni nani huyu mtu...
5 Reactions
16 Replies
657 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…