Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024.
Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo...
Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto.
Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna...
Simba haijafanya audited financial statements Toka uanze mchakato wa mabadiliko 2018. Ndo maana tunasema mchakato haujakamilika unakuaje na Bodi? Yani unajenga nyumba lakini mpangaji yuko ndani na...
Kabla ya kuisha mwa msimu wa 2022-2023 nilikuja na mkeka ulioelezea jinsi Simba inavyotakiwa kubadilisha kikosi chake kwa mtiririko fulani wa kuacha wachezaji ili ndani ya misimu 3 ijayo iwe na...
Baada ya alfajiri ya Leo Yanga kumtambulisha mchezaji Bora na mkubwa sana clatus Chama.
Sasa Yanga wamehaidi kumtambulisha mchezaji mkubwa.
Tutabiri, je huyo mchezaji ni nani?
KELELE ZA MAJIRANI KUHUSU CHAMA KABLA YA USAJILI.
Chama hana kasi
Chama anapoozesha mipira
Chama anaharibu "move" za wenzie
Chama hapati namba Yanga SC
Chama siyo mchezaji wa mechi kubwa
Chama...
Nisikuchoshe..wewe ndie Mchezaji ushacheza sana unaona kabisa unaelekea ukingoni Yanga hawa apa na Yanga tena hii ya Hersi ambayo inashawishi kila kitu yani hii Yanga inashawishi Ndani na Nje ya...
kinachoendelea ni kama maksudi hivi kuiharibu timu ili tu kutegeana kiongozi flani apewe lawama ama tuone umuhimu wa kiongozi fulani kwa yeye kutofanya chochote ama kusadia kidogo sana kwa maksudi...
Moja Kwa moja kwenye mada, naungana na wazo la Huja, The Jf Expert member kwamba ni wakati wa Kutafakari kwamba inawezekana kambi ya Simba si salama Kwa Hujuma toka Jangwani.
Hii hoja naona ina...
Mzee wangu yupo karibu sana na yanga, kitu watu awajui ni kwamba.
First 11 ya yanga. wote wanaoffer mezani. so usishangae PACOME- Al ahly, Aziz - pirates, Bacca -AS Far, SA , max - SA , job -...
Habari Wapenda Soka.
Nawashauri Watani Zangu Simba Sc Maana Naona Wamechanganyikiwa Na Mikiki Mikiki Ya Mashindano Yote.
Wameanza Kuwasimamisha Wachezaji Wao, Na Hiyo Ni Dalili Kama Ambayo Mfa...
Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake.
(1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki...
Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu...
Udhamini wa manji yanga unaleta maswal mengi sana. Na maswal yanakuja zaidi kwa kuwa wote wamekataa kufikiri wamemwachia manji na akilimali tu.
Manji yeye ni kila kitu. Kwa lolote analotaka...
Salaam Wakuu..
Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.
Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule...
Kusema ukweli huyu mchezaji alikuwa ndio kipenzi cha wana Simba, yaani mwamba tulikupenda sana lakini ndio hivyo tena.
Tulikupa ufalme wa soka la nchi hii, tukakuimba na kulitaja jina lako kila...
Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale?
Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh!
Huyu mchezaji huwa...
Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025
Leo Yanga imemtambulisha kiungo mshambuliaji Clatous Chama akitokea Simba ambapo amemaliza mkataba wake
Ujio wake ndani ya...