Wapo wachezaji wengi wakiwa timu pinzani wanashindwa kabisa kuonesha kiwango hususan wanapokutana nao.
Unaweza hata ukadhani ni wachezaji wasio na kiwango kinachoimbwa.
Hata hivyo utashangaa ndio...
Mimi kama shabiki ndakindaki lia lia wa yanga
Yani tumekosa wachezaji wote tukasajili mzee chama aisee
Tunamengi ya kujifunza kutoka kwa Simba
UBUNTU BOTHO
Nilishawaonyeni sana hapa kuwa msipende sana Kubeti au kutoa Ahadi hasa kwa Masuala yahusuyo Simba na Yanga kwani upo Uwezekano mkubwa wa kuja Kuumbuka mbele ya Safari. Kuna dalili za 99% naziona...
Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu.
Nimeshangaa na...
Kama fundi hasa wa mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo...
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo), Justin Shonga, amefariki dunia.
Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Zambia, Dan Mwale, amethibitisha kutokea kwa kifo hili
Mwale alisema...
Wadau hamjamboni nyote?
... π° π¦π’ππ πππ‘ππππ£π
Mercedes Benz G- Wagon 63 AMG (White) ndiyo ndinga mpya ya Aziz Ki.
π° Zero kilometer inafika mpaka Tsh 500+ million. Used inacheza Tsh 400+ million...
kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.
which made Feisal shine.
Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam...
Mzinze anamwaga maji tu Shekhan anatia vitu π huyu dogo Mfaume aliyefunga goli la kwanza yuko vizuri sana. Engineer afikirie kumleta kikosi cha kwanza
Mchezo upo Live TBC 1
Ni jambo la hatari sana ambalo viongozi wa Simba wamekuwa wakilifanya bila wao kulitambua nalo ni propaganda badala ya ukweli na uhalisia wa mpira wa miguu.
Kwa Sasa hivi wanajinasibu kwamba...
Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa...
Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali...
AMODU
Siku chache baada ya kifo cha Stephen Keshi aliyewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Nigeria, kocha mwingine wa timu hiyo maarufu kama Super Eagles, Shaibu Amodu naye amefariki dunia, leo...
Anasema licha ya changamoto ambazo Manji alipitia, lakini aliibeba klabu hiyo wakati wa uongozi wake na hadi anaondoka Yanga, pesa aliyoikopesha klabu hakuwa amelipwa.
"Alitoa pesa nyingi na...
Jumamosi ni siku ya kwenda kula mbuzi Kibaha(Loliondo). Lakini kwa ugumu wa hela nikaona nisiende Kibaha nilipie kifurushi ili kumuona Muuza Madafu wa Ikulu akipambana ulingoni.
Saa moja...
Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025...
... [emoji1241] π‘ππ πππ¨ππ π¦πππππ¨ π¬π πππ₯π¦π
"Kwa mara ya kwanza nimefanya charity nje ya Nchi yangu ya Morocco [emoji1173] na charity hiyo nimeifanya Tanzania kutokana na ushawishi wa Rais wa Young...
Wakuu Leo ni final ya Taifa Cup Basketball kati ya Mara wanawake na Unguja wanawake kama Kuna mtu anaangalia haya mashindano basi atupe matokeo kujua Jesca vipi anaendeleza ufalme au kakwama.
Ni...
1. Khalid Aucho
2. Dickson Job
3. Ibrahim Baka
4. Djigui Diarra
5. Yao Kwasi
6. Aziz K
7. Pacome Zouzou
Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki...