Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali...
Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua!
Bwana...
Hope nyote wazima, wa afya tele!
Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu!
Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano...
Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0.
Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na...
Biashara United Mara wamefika mkoani Tabora na kupokelewa kwa kipigo asubuhi hii wakati wanaenda kwenye pre match Meeting.
Technical director Omary Madenge ameshambuliwa sana yupo kwenye hali...
Naheshimu Kipaji chako na Uwezo wako ila bado hujafikia hiyo Thamani na ukisema Milioni 400 naweza Kukuelewa.
Ukitaka kusikiliza zaidi nendeni Crownfmtz mkamsikilize.
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Sc Murtaza Mangungu anasema Uwanja ambao Wananchi Young Africans mnatamba nao sio mali yenu bali ni mali ya Mnyama Simba SC!
"Wenzetu Wamepewa Uwanja ni haki yao kama...
ligi kuu ina pesa nyingi sana. na possible next season pesa zitaongezeka. iko hivi,
1. Ligi kuu now ina recruitment organisations for players trials in foreign countries.
2. Kuna azam money...
1. GHANA
Kuna wachezaji wana vipaji vikubwa lakini ni wapenda starehe na wavivu mno. Ukimsajili Mghana tegemea utendaji kazi wa hovyo, kusumbuka makocha na Kambi ya team. Ni wazuri kwenye kuingia...
VIWANGO VYA UBORA VYA FIFA JUNE 20, 2024
AFRIKA DUNIANI
[emoji116] [emoji116]
1 [emoji1173] Morocco (12)
2 [emoji1211] Sénégal (18)
3 [emoji1093] Egypt (36)
4 [emoji1081] Ivory Coast (37)
5...
Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc.
Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika...
Cloatus Chota Chama
Ni kweli bado hakijaeleweka. Kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama bado hajamwaga saini ya kuendelea kubali Simba baada ya mabosi wa Msimbazi kushindwa kumtekelezea...
Nimekuwa nikifuatilia sana washambuliaji wengi wanaosajiliwa simba wakitokea nje ya Tanzania kushindwa kuonyesha makali wakati huko walikotoka walikuwa moto.
Mfano ni huyu mzungu aitwae Dejan...
Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa...
🇧🇷 Ronaldinho: “That’s it guys, I will not watch any Brazil game at the Copa América nor celebrate any victory”.
“I’ve had enough. It’s a sad moment for those who love Brazilian football. It’s...
Akiongea Jana kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha historia ya klabu ya Yanga, Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa michezo, alisema kitendo cha viongozi na wanachama wa Simba kukubali kuendesha...
1. Kuna ndugu alifaliki SA back then, yani tunajua Mefariki kwa kutumiwa picha na anatafutwa ajulikani for a month and so, gari lake likekutwa limepata ajali. mwili aupo, damu tu. Tulihustle sana...
Nikiwa Kama mwanachama kindaki ndaki wa Yanga Sc ninayelipa ada ya uanachama kila mwaka ninayohaki ya kujua (kujuzwa) /kuuliza/kuhoji mapato ya timu pale ninapokua sijui.
Hili la Mkataba wa...