Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la Jamiiforums kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
15 Reactions
81 Replies
3K Views
Beki wa kati wa coastal union Lameck Lawi amesajiliwa na Simba SC. Mkataba wake ni miaka miwili. PIA SOMA - Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC - Hii Dunia ina Vituko sana, eti Lameck Lawi...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa. In short niseme tu umaskin ni janga kwelikweli unavyoona CCM inaendelea kutawala leo ni kwa sababu ya umasikini tulionao, mimi huwa naamini mtu akiwa na Maisha sio ya kitajiri...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Simba kwa sasa tutaona kila rangi.Utawala wa yanga umeimarishwa hadi kwenye safu ya uongozi wa Simba. Malengo yao ya kimpira yanatimia huku malengo ya kisiasa ya wanaotumiwa yanatimia lakini kuna...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Kama utani lakini inatokea.Ninaona yanga wanafanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa kwa wachezaji wa Simba na viongozi waliopo. Siamini kabisa kuhusu matukio mengi yaliyotokea hasa kupitia kwa...
2 Reactions
9 Replies
800 Views
Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya...
4 Reactions
22 Replies
742 Views
“Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo amekuwa akitoa shilingi...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Mchezo wa marudiano kati ya Tabora united na Biashara Inited unaendelea. Ikumbukwe Mchezo wa kwanza biashara United iliibuka na ushindi wa bao 1 lililofungwa kwa Mkwaji wa penati. Ikitokea...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mangungu Hana jema Simba SC, mashabiki na wanachama msipotulia na kujua lengo la huyu mwamba mangungu timu inaenda kusambaratika vipandevipande. Huyu mangungu katumwa na kikosi kazi Cha GSM Ili...
0 Reactions
12 Replies
601 Views
Aggness Daniel (Aggy Simba) Dkt. Mohammed Sekretarieti ya Klabu ya Simba imewafungia kujihusisha na masuala ya klabu Wanachama Mohamed Khamisi Mohamed maarufu Dr. Mohammed na Agnes M. Daniel...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Achana na porojo za vikundi vinavyo hongwa na watu wenye nia mbaya ili kumhujumu ndugu Murtaza Mangungu (genius wa msimbazi), leo nataka kukumegea siri makini sana. Ni hivi, ndugu Murtaza...
6 Reactions
16 Replies
661 Views
UEFA EURO 2024 Azam wataonesha kweli? Nauliza tu, wajuaji mnjibu
1 Reactions
32 Replies
2K Views
#KIPENGAXTRA: “Mimi sitagombea, mimi siyo maskini, sina njaa, hata mkizomea nasemaje mimi sina njaa, na wanachama wengi mliopo hapa ni mambumbumbu.” hii ni kauli ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa...
1 Reactions
14 Replies
418 Views
Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio...
3 Reactions
7 Replies
678 Views
Hii futafuta cha ajab Rushford nill Haya
2 Reactions
14 Replies
483 Views
Betting imekuwa moja ya shughuli maarufu nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa inaweza kutoa fursa za kiuchumi, ina changamoto zake nyingi. Makala hii itachunguza faida na hasara za...
1 Reactions
2 Replies
951 Views
Putin aliacha urais akamwachia waziri mkuu wake kuwa Rais a waziri mkuu wake akaacha Urais akamwachia Putin. Simba ina katiba mbovu. Mo Na Try Again wanateuana kuwa wenyeviti wa bodi ya simba...
7 Reactions
11 Replies
444 Views
Nimepitia mchakato mzima ni jinsi gani Mo allimilikishwa hisa zake 49%, Nimebaini Mo alilipia hisa zake zote, Katika asilimia 51% zinazomilikiwa na wanachama ni asilimia 10% tu ndizo zilizolipiwa...
9 Reactions
24 Replies
914 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…