Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.
Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni...
Muda mchache ujao kutapigwa mechi za robo fainali katika Uefa Champions League.
Arsenal Vs Bayern Munich
Real Madrid Vs Man City
Karata yako unatupia kwa nani?
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league.
African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za...
Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa...
Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, hii ndio hofu yangu kwa mechi ya leo kwani baadhi ya wachezaji wetu wa humu ndani na wale wa kimataifa, walikuwa wanatumikia timu zao za Taifa katika kusaka...
Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji"...
Kiukweli kila nikiwaangalia viongozi wa Simba nyuso zao hazina Nuru tena, imebaki Bora liende tu na kwasasa mzigo mzito upo kwa kocha wao benchika,
Siku ya mechi na singida black star ilibidi...
Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa...
Kuna mambo mengi Makolo yaliya buni badala ya kusajili quality players wenyewe walitaka ku master mambo ya nje ya uwanja ...
Mfano suala la kibegi Cha Simba walikipandisha Hadi mount Kilimanjaro...
Nimekuwa nikiwasikia mashabiki wa yanga walivyokaririshwa eti Simba hajawahi kufika fainali ya CAF kwa vile kikombe alichofika fainali kiliitwa Abiola Cup. Ni sawa na mtu asema kombe halikuwa la...
Niliwahi kutoa ushauri kwa Yanga kujikita kwenye kombe la shirikisho maana wameonyesha wana uwezo wa kukomaa na kuchungulia ubingwa kabisa. Baada ya ushauri ule nilishambuliwa sana na mashabiki...
Klabu ya Ihefu | Singida Black Stars imefanikiwa kuinasa saini ya winger, Victorien Adebayor 🇳🇪
Atajiunga na klabu hiyo msimu ujao.
NB: Tuliambiwa kuwa Adebayor ana mapenzi sana na Koloizdad.
Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana...
Kwani na Wao Yanga SC kuna Mtu yoyote labda aliyewazuia wasiende kuweka pia Kambi huko huko Zanzibar?
Kimewauma nini wakati Wao Kutwa wanatamba na tunajua kuwa ni Timu bora Tanzana, Bingwa...
Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki...