Kwa moto ambao Azam walipelekewa na Coastal Union, Simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.
Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio...
Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga.
Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote...
Timu inayocheza kibingwa inaokota point aijalishi key prayers wake awapo ama wapo, kitendo Cha kuwakosa wachezaji muhimu 6 wa kikosi Cha kwanza na bado watu wakachapika ipasavyo ugenini ni ishara...
Ni shabiki mbumbumbu tu pekee kutoka Simba sc kuKataa kuwashukuru TFF na Bodi ya ligi kwa kusogeza mbele mchezo wa Simba sc vs Azam.
Kosakosa ya Namungo kuangukia sale ya moja moja huku mnyama...
Sote tunajua uhusiano wa karibu uliopo kati ya Namungo na ile team ya Makolo
Makolo wamepoteza mechi dhidi ya Prison kwahiyo wanategemea kesho watumie tawi lao kurejesha furaha
Mmiliki wa Namungo...
Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam
Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora...
Halafu mnaficha nini kuwa jana baada ya Mechi Kocha kamtukana Tusi Tukuka Jaribu Baadae kwa Upuuzi wa kutowapa Fedha zao Wachezaji walizoahidiwa na zilizowavunja Moyo na kwa Makusudi wakaamua...
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni...
Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake...
Kauli ya Kuwa eti Simba ilipangwa kundi dhaifu, hivi wewe akili zako Zina Akili kweli? Hujielewi kwamba kwa ajira uliyonayo unasikilizwa na kufuatiliwa na watu ambao baadhi hawajui lolote na...
ufafanuzi tafadhali
Leo hii Metacha anaanzishwa kwenye kikosi dhidi ya Namungo licha ya kwamba alipewa redcard mechi ya prisons, huku sio kukiuka sheria za mpira, au kulikuwa na msamaha?
Huu ndo ukweli mchungu kwa wanasimba ni ngumu sana kushinda na Yanga kwenye mbio za ubingwa wa nbc premier league
Nafasi ipo ila ni ngumu kutoka na aina ya mpinzani unayeshindana naye ambaye ni Yanga
Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2!
Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye...
Habarini wana JF,
Jina la topic linajieleza, naomba niwakaribishe wadau wote wa mchezo huu pendwa.
Kiufupi nimekua mfatiliaji wa EPL ambayo pia ina app kwa ajili ya wadau wake kuweza kujipima...
"Nafurahi sana kusikia Yanga SC inafanya vizuri, hiyo ni familia yangu, sijaondoka kwa ubaya Yanga, ni familia ambayo niliachana nayo kwa muda huku nikiwa na huzuni kubwa moyoni"
"Nafurahi kuona...
Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.
Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC...
Ni ukweli usiofichika kwamba MANULA anatuhujumu, kama mnataka tufike salama, huyuasisogee uwanjani kabisa.
Aidha Ahmed Ally inaonekana unatusaliti Dana shida ni ni? Unaweza ku stepdown kimyakimya...
Salaam waungwana,
Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wenye mamlaka kuingilia michezo mbalimbali.
Sote tutakubaliana tangu 2015 tunayo aina ya viongozi ambao katika kila jambo wanaelekeza sifa na...