Wanariadha 8 wanatarajia kushiriki na kushindana kwenye Mashindano ya African Games (All African Games) yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 8 - 23 Machi , 2024 huko Jijini Accra Ghana.
Michezo...
FIA president Mohammed Ben Sulayem is under investigation for allegedly interfering over an FA race result.
FIA president Mohammed Ben Sulayem is reportedly under investigation by the...
AKILI ZIMEANZA KUWARUDI
" Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi...
Mwanariadha Magdalena Shauri ameangukia pua baada ya kushika nafasi ya 11, kwa muda wa 2:32:58 huko Tokyo Japan, Jana tarehe 3/3/2024.
Hata hivyo, Magdalena ndiye Mwanariadha pekee kwa sasa wa...
° The current, historical 32 team group stage format will transition to a 36 team league phase from 2024.
° Each team will face eight different opponents, drawn from each of the four...
Niliona Makaburi yamefukuliwa baada ya Yanga Sc kutinga fainali ya shirikisho, Simba sc (mashabiki ) walitumia nguvu Kubwa Kufukua Makaburi ili tu nao waonekane kuwa walifika fainali.
Ndiyo Leo...
Tunaweka kumbukumbu sawa ya kwamba katika makundi yote ya CCL msimu huu kundi lililokuwa dhaifu KULIKO yote ni kundi la Simba, ubora wa timu zilizokuwa kwenye kundi ilo kwa yeyote aliyekuwa...
Simba itacheza michezo minne ya ligi kuu mwezi wa tatu.
1. March 06, Simba vs Tanzania Prison
2. March 09, Coastal Union vs Simba
3. March 12, Simba vs Singida FG FC
4. March 15, Simba vs...
Nimeshangazwa kuona kelele za mashabiki zikishinikiza kuwa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ajiuzulu baada ya Simba SC kupokea kichapo cha goli 5 kwa 1.
Mashabiki wapiga kelele bila...
Huyu member aliweka uzi hapa jukwaani kwamba akiwa na akili timamu Simba ikifunga apigwe ban ya week.
Naomba apate haki yake hii tabia ya kutoa ahadi tu halafu mods hamtekelezi itaota mizizi humu...
Hivyo ndivyo ninavyoweza kusema kwasababu kama tunakumbuka fainali za mataifa ya Afrika yametamatika hivi karibuni na Bingwa kuwa muandaaji wa michuano husika yaani Cotè d'ivoire.
Kama...
Katika kipande cha video hapo chini kinaonyesha goli walilofunga Wydad Athletic Club kutoka nchini morocco katika mchezo wao caf champions league dhidi ya Asec mimosa ya cote d'ivoire...
Nashangaa kwanini Yanga inataka kuwakomoa Simba, wao wameshavuka na wapo Misri lakini malazi ya Jwaneng Galaxy yapo Kigamboni.
Ila tutaingia tu robo fainali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika ligi yetu hapa Tz ukizungumzia kiungo bora na wa kiwango cha juu lazima umtaje chama, amekuwa kwenye ubora kwa muda mrefu japo...
Hawa wataingia kwenye msuguano mkubwa sana. Huyu dogo Chasambi wa Mkia na Pacome wa Yanga.
Hawa ni level moja kabisa, tuone tu Chasambi atakuwa na matches ngapi kuja lingana na Pacome.
Nimeshtuka..!
Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni?
Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu?
Kwa kuwa simba mbovu...