Mamelodi sundowns Vs TP Mazembe
⏰ 10 kamili jioni
🏟 Lucas Moripe Stadium
📺 Azam sports 2HD
Kikosi cha mamelodi sundowns
Kikosi cha tp mazembe
Mpira umeanza
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya 15
0-0...
Kwa Mechi zangu Tatu tu nilizotulia na Kumtizama Kiufundi Guede nimelazimika kuuweka pembeni Usimba wangu na Kubakia Mwanamichezo na Mchambuzi kwa kusema kuwa hakika Yanga SC wamepata Mshambuliaji...
Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana...
Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile...
Sintofahamu ya Mo dewji kuibuka na kusema kuwa Simba sc ni timu aliyoinunua kwa gharama kubwa hili limewashitua baadhi ya mashabiki Ila hawakutaka kuongea chochote wanasubiri matokeo Kati ya...
Uongozi wa AL Ahly SC umewakaribisha Young Africans SC katika makao yao makuu na imeamriwa watafanya ushirikiano katika kukuza uwekezaji
Eng Hersi amesisitiza mbele ya uongozi wa al ahly kuwa...
Mabondia wengi wa Jeshini hawana uwezo ila wanabebwa tu , Kidunda hawezi kumpiga Katompa hata wakirudia game mara 10 .
Hii ndio maana Tanzania haifanyi lolote kwenye michuano ya Olympic au...
Hili jambo linapaswa kufanyiwa kazi na Viongozi wa Masumbwi Tanzania .
Zipo tuhuma kwamba mabondia wa Tanzania hawana uwezo , na huwa wanabebwa na waamuzi wa ndani kwa kuwapora ushindi mabondia...
Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL...
Naomba nitoe salam kwa member wenzangu wa JF.
Kwa mara nyingine, leo nawaletea historia ya mwanamasumbwi bora wa kike wa muda wote, na wa uzito wote (The GOAT) Laila Ali au unaweza kumwita 'She...
Wakuu watanzania wengi pamoja na unafiki wao wakuiponda yanga bila facts, kwa sasa Yanga imewafunga midomo na watu wengi wakifikilia kuiandikia upupu wakikumbuka walijalibu kuiansikia upupu...
Kuna mashabiki wamevunjika moyo baada ya kusikia kuwa timu ilinunulia muda mrefu na Mo Dewji.
Ushauri wangu kwa Yanga watumie muda huu kusajili mashabiki waliochukizwa na ukweli uliofichwa kwa...
#MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi...
Gareth Bale, mchezaji wa soka kutoka Wales, mara nyingi huonekana kuwa ni moja ya hazina kubwa katika ulimwengu wa kandanda, haswa kutokana na ustadi wake wa kipekee, uimara, na uchezaji thabiti...
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda...
Jamani wataalamu wa history a.k.a takwimu za zamani hasa hasa wana simba wazee wa compare and contrast naombeni points nikajibie mtihani mimi mdogo wenu wa form one C swali linasema "compare and...
Tarehe kama Ya Leo Timu ya Young iliichapa Al Ahly Goli 1-0 Kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, ilikuwa 2014, miaka 10 iliyopita, Je leo historia itajirudia?
Kwa historia za vilabu vya Simba na Yanga, ni rahisi sana kuchukua mchezaji kutoa pembe yoyote ya Tanzania na atakuwa anajua moja kwa moja uzito wa nafasi aliyopewa.
Hii ni tofauti kwa wachezaji...