yambo wakuu!
Kila nikiifanyia tathmini klabu ya soka ya simba sc, maarufu kama mbumbumbu efusii au mwakarobo kama wanavyopenda waitwe na wapenzi wa futibolu nchini naona vihoja na vichekesho...
Jackline Juma Sakilu AVUNJA Rekodi ya Taifa kwa sekunde 33, kwenye Mbio Ndefu za Kilomita 21, Kwa kushika nafasi ya Tatu Kwa Muda wa 1:06:04 (Half Marathon) Tarehe 24/02/2024 , Rekodi ya Taifa...
-Nimeona hii post kwenye mitandao ya kijamii ikionesha klabu ya Simba SC kwenye club ranking ya CAF kwa msimu wa 2024/25 ipo nafasi ya 5 na pointi 39, Yanga ipo nafasi ya 12 na pointi 31, CR...
SWALI: Wameibuka watu wanasema mafanikio ya Yanga wapongezwe watu wengine ambao sio Yanga.
MAJIBU KAMWE: “Kwa kifupi kabisa Wahenga walisema Mjinga mpe cheo alafu wewe endelea na yako, Sisi...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Wakuu nina swali kwa mwenye ufahamu atusaidie wana jukwaa.
Tff wanatumia vigezo gani kugundua kwamba kitendo flani kilichofanyika ni cha kishirikina na kutoa...
Habari wanajamvi, hili swala limekuwa likinifikirsha kwa muda sasa. Imekuwaje katika kupanga makundi ya ligi ya klabu bingwa Afrika(CAFCL), timu mbili za kutoka Tunisia kupangwa kundi moja? Katika...
Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
NDANI YA SIKU NANE YANGA WAMECHEZA MECHI TATU NA KUSHINDA YOTE KWA KUPATA JUMLA YA MAGOLI 12
KMC 0-3 YANGA
YANGA 5-0 POLIS Tz
YANGA 4-0 BELOUZDAD
NDANI YA SIKU NANE SIMBA WAMECHEZA MICHEZO...
Twende kimahesabu tuache uchale, Yanga ana points 2, amebakisha mechi 2 za nyumbani, mwarabu na Medeama na anamalizia kwa Al Ahly.Anaweza kumfunga Medeama na mwarabu hapa nyumbani lakini kule...
Katika mchezo wa Simba sc vs Al ahly siku tatu kabla Kuna kikosi kinachojiita Makomandoo wa Simba sc kilikwenda kuweka kambi kwa dhumuni la kulinda uwanja wa Mkapa.
Juhudi ziligonga mwamba baada...
Mwanariadha wa Kimataifa na mwenye rekodi ya Taifa kwa mbio ndefu, kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Magdalena Crispine Shauri anatarajia kushiriki na kushindana kwenye mbio za TOKYO...
Nasikiliza hapa wapi yaani ni kujitafuta tu kila mahali. Sasa Yanga sa ameingia fainali last year CAF CONFEDERATION CUP je simba kafika? Yanga kaingia robo kwa kishindo kikubwa je Simba...
YANGA VINARA WA UFUNGAJI WA CAFCL HADI SASA !.
Klabu ya Yanga ndio timu inayoongoza kwa kufunga magoli mengi hadi sasa hatua ya Makundi CAFCL . Ikiwa ni mara yao ya kwanza tangia mashindano haya...
Kwa kikosi Bora Cha africa yanga imeingiza wachezaji watatu Kwa east Africa nzima
Musonda
Aziz ki
Yao
Swali: kwani Simba inashiriki CAF champions league.....mbna Haina mchezaji hata mmoja...
Tunaposherekea ushindi wa Yanga jana kuingia robo fainali ya club bingwa,tusiache mbachao kwa msala upitao,Simba alichonga njia kwa machozi na damu kutuonesha ya kwamba inawezekana kushindana na...
Ronaldo is set to face possible investigation after an on pitch 'obscene gesture' he made towards fans who chanted Lionel Messi's name towards him.
The gesture came after Al Nassr's 3-2 victory...
Wahadhiri wa Chuo Kikuu wanasema pressure creates diamonds yani msukumo huzalisha Almas na Wakufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Ghetto wanasema Heavy is the head that wears the crown, yaani kichwa...
Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani...