Hello Mashabiki wa Yanga, popote pale mulipo, kunjeni ngumi, pigeni kifuani kisha hewani huku mkitamka 'Wananchiiiiii...!!!'
Ahsante sana, mmeliheshimisha Taifa.
Yap.. kwa kila mwanayanga leo ni...
Huwa sifurahii kuona mafanikio ya Yanga kitu kilichofanya nisiwe naangalia michezo Yao.
Kama bahati mbaya Jana nilikaa peke yangu mbele ya luninga kuangalia mechi ingawa niliumia ila hiki ndio...
Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata.
Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC...
Wengi mmejikuta mnaangalia hatma ya Yanga kwa kuangalia tu mechi mbili za Yanga dhidi ya CRB na ile ya mwisho dhidi ya Al Ahly. Hakuna ambaye amewaza ni jinsi gani Medeama anaweza kuwa msaada...
Kiukweli MAYELE ni kama hajafikia matarajio ya Pyramids. Walipomsajili walikua na mategemeo makubwa sana kwake lakini ameishia kumbwela bwela tu, na ukizingatia washatoka kwenye makundi CAF CL...
Yanga imekua timu ya kwanza kufunga idadi ya goli 4 na Belouizdad kuwa timu ya kwanza kufungwa goli 4 katika hatua ya makundi kwa msimu huu katika CAF Champions league.
Hongera Yanga kwa rekodi...
Pengine huenda ndio maana GAMOND hapend kumtumia huyu bwana mdogo tangu nimjue kila shuti analopiga huenda juu usawa wa paa la mkapa ila kiufundi namfananisha na chatu ambaye huwa anatabia ya...
Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba...
We Yanga Africa weeeeeeeeeeee!, utaniua mimi Yanga Africa!!
Usiku wa jana Yanga Africa alikuwa katika kiwango chake bora, ogopa sana Yanga hii dume ikiwa ina operate katika standard kama ile ya...
Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory...
Mr Chairman
Am a Simba Fan from Tanzania, an arch rival of Yanga Sports Club which your club is expected to face on Saturday.
I am writing this letter with good intention to inform you that...
Kinachoibeba Yanga ni kitendo cha wao kuwajaribu wachezaji wao waliowasajili na sio kwa dakika tano bali wanapewa muda mwingi uwanjani tofauti na Simba ambavyo inasajili wachezaji Ila haiwapi...
Kwa pira la mtani jana, basi kuna uwezekano wakatinga fainali na ikawa Yanga vs Mamelod. Je, unatupa karata kwa nani?
Asee watani jana mlijua kutukomesha. Soka safi lenye matokeo chanya. Lile...
Hivi hamjamuona mtangulizi wenu Simba mara nyingi kupita kwake hadi game za mwisho ndo majibu hupatikana
Iweje wewe uliebezwa mwaka jana upo katika mashindano rahisi uje uwabamize hao wakubwa kwa...
1. Hamuwezi mechi za kimataifa
2. Medali ya kombe la looser
3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana
4. Sio Shirikisho huku.
NB
Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
ππππππππππππππππππππππππππππππππππIla nyie kumtetea Mtu asiejielewa na ana makosa ya kujirudia ni kazi.
Nimeshindwa kutetea uzi wenu wanasimba Njooni Mjitetee wenyeweπππ
waiten wana simba wote...
Kufuatia ushindi wao wa 3-0 dhidi ya Galaxy hivi punde na kimahesabu, ASEC Mimosas wametinga hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika.
Hadi sasa, ASEC wamefikisha alama 10 huku ikibaki...