Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hakika porojo hii sasa ndio ina trend, naomba kuuliza kama yanga ina majini, ambayo ndio inawasaidia kufunga magoli, ingekuwa inafungwa kweli? Hivi Ihefu iliwafungaje Yanga? Hivi yanga ingekuwa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
[emoji617]Match Day[emoji617] [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ TZ Prisons[emoji739]Young Africans SC [emoji414] 11.02.2024 [emoji909] Sokoine [emoji797] 10:00 Jioni Yanga wanaingia...
10 Reactions
521 Replies
22K Views
"I have watched AFCON more than European football. They are simply teaching us to be honest. In AFCON VAR is used exactly the way it should be used. They do not use it to help the money magnet...
29 Reactions
29 Replies
3K Views
Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge bwabwaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au...
11 Reactions
98 Replies
4K Views
All my NFL heads [not that many in here], it’s about that time. It’s going down this Sunday, Las Vegas, Nevada baby. So who y’all got? Bang bang Niner gang or the Chiefs? Drop your comments...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna mishabiki ndani ya Simba, wao kila siku Saido akipangwa wanalalamika kuwa Saido mbinafsi, Saido mchoyo, anaikaba timu, cjui mganga wake kiboko, maneno mengi. Leo Saido kawekwa benchi na gemu...
4 Reactions
12 Replies
900 Views
Ft Simba(mwenyeji) 1 Azam(Mgeni) 1. Ndio matokeo ya mwisho pale dimba la CCM Kirumba Mwanza.Hatimaye baada ya danadana za muda mrefu leo kiporo kimeliwa pale Mwanza huku kukiwa hakuna wa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Pepo baleke ni pepo baya sana.
7 Reactions
17 Replies
1K Views
1. SIFA ZA WASHIRIKI 1. Mshiriki awe raia wa Tanzania. 2. Mshiriki awe ameshawahi kucheza ligi tofauti tofauti kubwa zilizowahi kuchezwa miaka ya hivi karibuni (2020-2022) 3. Awe amepitishwa...
23 Reactions
227 Replies
19K Views
Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii! Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi! Ukiona...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Haya mambo hayafanyiki kwa bahati mbaya, Yanga ataendelea kuwa bingwa miaka 10 mfululizo, nyie endeleeni kulalamika lkn mikakati na mipango ndio hiyo. Sasa hivi hakuna jinsi, akili bandia ije tu...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Lapex Properties imetangaza kuwazawadia viwanja mshindi wa kiume na wa kike wa mbio za kilometa 42 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024. Zawadi hizi zinatolewa kwa...
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Ligi Kuu ya England “Premier League” msimu wa 2023/24 inaendelea, ilianza Agosti 11, 2023 na inatarajiwa kufika tamati Mei 19, 2024. Mechi ambayo hadi sasa ilishuhudiwa na mashabiki wengi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu wengi wamesifia AFCON ya 2023 kwa ushindani ulioonyeshwa na timu nyingi na matokeo yasiyotabirika yaliyofanya mashindano kuwa ya ushindani zaidi. Pamoja na sababu nyingine kadhaa ikiwemo...
2 Reactions
5 Replies
730 Views
Naomba kuuliza, jeTanzania, Kenya na Uganda zote hazitacheza mechi za kufuzu AFCON ya mwaka 2027? Nauliza hivyo ili kupata uelewa tu wa mambo kwa sababu sikufuatilia kwa kina baada ya taarifa kutoka.
0 Reactions
1 Replies
670 Views
Habari za wakati wanamichezo wenzangu? Nikiwa kama mkereketwa wa soka mwenye makazi ya muda ndani ya mkoa wa kigoma. Ninaliomba shirikisho la mpira wa miguu ( FF) liangalie muda wa kuanza kwa...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Binafsi nimekuwa nikimfahamu Mzee Bayi toka nikiwa mdogo ila sikuweza kujua kiundani kwamba kwanini hadi leo dunia inamheshimu mno kwenye riadha wakati wapo wanariadha wengi wa enzi zake...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Klabu ya Arsenal imeibugiza West Ham kwa mabao 6-0 katika mchezo wa ligi kuu england maarufu kama EPL. Mpaka mapumziko Arsenal ilikuwa mbele kwa mabao manne kwa nunge, huku mabao hayo yakifungwa...
0 Reactions
5 Replies
615 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…