Kichwa cha habari chahusika. Baada ya kusuasua kwa misimu miwili ni dhahiri sasa kuna mabadiliko yafuatayo yatafanyika Simba SC:
1. Fred Nganjiro (Vunjabei) hataendelea kuwa kit supplier wa...
Kwa wale wanaofatilia haya mashindano yenye ukwasi wa milioni 100 kwa mshindi wa kwanza na 80 kwa wa pili ambayo yameanza Leo wawe wanaweka updates hapa ili sisi watumiaji wa Dstv tujue Nini...
Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.
Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na...
Habari za hivi karibuni zilizopo hadi sasa zinaeleza kuwa kuja kwa Simon Msuva kujiunga na Yanga SC bado ni taarifa rasmi haijathibitishwa na klabu zenyewe.
Kwa sasa inaonekana kama tetesi tu na...
Kampuni ya kiteknolojia ya michezo ijulikanayo Kama sprible imeibuka mshindi wa tuzo 7 mtawalia kwa Mwaka 2023 baada ya ubunifu mkubwa walioufanya katika teknolojia ya michezo ya igaming. Baada ya...
Eti Chama amechoka atupishe, wapumbavu wengine walioanza kujua mpira miaka ya 2010 utawasikia Chama kashakuwa mzee, fyoko fyoko cjui Pacome amemzidi Chama vitu vingi, haya sasa huyo Pacome yupo...
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao 2022/2023 katika michezo ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa, leo Julai 13 2022 imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji...
Who is the Toughest Defender,
Messi have ever Faced.
Alot of fans would say, Sergio Ramos or Virgil van Dijk,
But when Messi was Asked, The Defender he mentioned is, isn’t well know well...
Ndugu Yangu mkurugenzi wa uhamasishaji umefukuzwa rasmi leo na hao wenye timu ambao wameifanya kuwa mali yao binafsi, kwanza walikusimamisha na Leo wameamua kukumwaga mazima.
Bahati nzuri umekaa...
Kusema ukweli uongeaji wa semaji unavutia sana hasa anavyokazia maneno na ile tone yake pamoja na maneno na vikorombwezo kibao anavyomix wakati wa uongeaji.
Na kinachochekesha zaidi na...
Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu.
yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda...
Done deal, signed and sealed. [emoji1075][emoji92]
Franklin Navarro (24) from Cortuluá is a new striker for Azam FC! [emoji1241]
He becomes the first Colombian to player in the NBC Premier...
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us...
Kwanza uwanja wa amani una vigezo vyote vya kuchezea mechi za kimataifa na kitaifa, pia Zanzibar ni sehemu ya United Republic of Tanzania.
Tatu huko nyumba Simba ilipokuwa ikiweka kambi Zanzibar...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua mchezo maalum wa mpira wa miguu ulioshirikisha Zanzibar Heroes dhidi ya Kilimanjaro Stars baada ya...
Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama Sure Boy ambaye anaweza kuleta umoja kwa Timu ya Taifa ya Tanzania AFCON.
Tunaiomba TFF imwite Sure Boy na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu...
Told:
Azam FC are set to sign Al Merriekh’s goalkeeper Mohamed Mustafa (27). Talks completed and here the right news only! [emoji599][emoji1232]
He will arrive in Tanzania today to join the...
Nyota wa klabu ya Mtibwa Sugar Ladack Chasambi amesajiliwa na kikosi cha Simba kwa dau la million 70 na mshahara wa Million mbili [2] kila mwezi kwa miaka mitatu [3].
Chasambi imeitupilia mbali...