Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC.
Muda ni Saa 10 Jioni.
Kila la heri mnyama.
Kikosi Cha KMC Kinachoanza
Kikosi cha Simba Kinachoanza...
Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.
Nadhani tunachokiona...
Unajua haya Maisha usiruhusu kitu kikuzoeee kikikuzoea kina Jenga Makazi kina kua kama Part of your Life hata kama kulikua ni Temporary.
#Simba Jiangalieni hapo Mtaa wa 3 mnaweza msitoke.
Nashauri uongozi wa mchezaji Luís Miquissone Uuombe uongozi Wa Simba Umtoe mchezahi huyo kwa mkopo kwa timu zisizo na presha.
mfano Namungo,Singida FG,Kmc na Nyinginezo zinazoweza kumpa dk nyingi...
Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa
Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka...
Ndiyoo!! Msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) alianzisha Jambo la kiungwana la kuombana msamaha haswa mnapokoseana.
Hii kampeni ilianza baada ya Simba sc kuchukua point tatu muhimu Mbele ya Wydad...
i will be short,
1. KATIBA
ina mpa too much power muwekezaji to the point average person ambaye ni mwanachama can't have a say. Manchester United and alot of monopoly teams face the issue, as a...
Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao...
Unatengenezwa mkakati mwingine ili muingie kwenye anga zao tena huko kwenye Kombe la Mapinduzi, labda mjiangushe mrudi mapema lakini ukweli ni kuwa makamu mwenyekiti wao ndio mastermind wa kubeba...
Huu mwaka sitousahau ktk maisha yangu, nimezaliwa mwaka 1979 hospital ya Ocean Road, nimeishi Chang'ombe, nimeishi Keko, nimeishi Mtoni kwa Aziz Ally, nimeanza kwenda uwanjani nikiwa darasa la...
Zile tetesi za kuwaleta wachezaji niliowataja hapo juu,ni za kusikitisha sana kwani viongozi wetu wanaendekeza siasa badala ya uhalisia wa mprira wenyewe.
Hata hivyo bado kuna tetesi kuwa coach...
Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga.
Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga...
Natoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu.
Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions...
Kama ilivyoada mwishoni mwa mwaka ...Leo nawaletea best perfomer wa jukwaa la michezo na sifa zao Kwa mwaka huu 2023
1. Kalpana ...24 hrs yupo kwenye jf sports...sijui anapika saa...
Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili?
Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction.
Kwanini kama...
Jonathano Sowah ni streika wa timu ya Madeama kutoka Ghana ambayo imecheza mechi mbili naa Yanga siku za hapa karibuni.
Baada ya mechi ya kwanza mashabiki wengi walimpigia chapuo kwamba ndie...
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na...
Acha kumtupia lawama Ayub Lagreb tuliyemsifu kwenye gemu Wydad Casablanca kwa kufanya saves za kutosha nasema acha kabisa.
Tatizo lipo kwa wachezaji (saikolojia Yao) waliingia na matokeo mfukoni...