Mwamuzi Said Mkonde apigana na bondia Said Likaule baada ya kutokea mtafaruku baina ya wawili hao ulingoni.
Mkonde alimaliza pambano kutokana na kile kilichotokea ulingoni kitendo ambacho...
Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa...
Beki wetu Israel Mwenda amecheza Mechi 3 Tu za Ligi Kuu na Tayari amefunga Magoli sawa na ile Winga HekaHeka iliyofeli Ulaya..[emoji3]
Enjoy Life Mwamba na Wananchi wanakupenda sana[emoji1363]...
Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.
Wakuu
Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars.
Swali...
Kichwa cha habari kinajieleza hizi timu mbili ni mke binamu timu moja ipo kuipiga jeki nyingine ili ichukue ubingwa na kupunguza nguvu za timu nyingine timu hiyo ya singida ni godown la yanga...
Wakuu
Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex.
Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya...
[emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC...
Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao...
Unadhani nani ataibuka na ushindi? π€β½ Yanga wanaonekana kuwa na form kali, lakini Singida Black Stars wanaweza kuleta mshangao. Unategemea nini kwenye hii mechi? Tuambie mawazo yako! π₯π
Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu...
Nimesikia Max Nzengeli akiitwa Mkuu wa Nidhamu, lakini cheo chake halisi kinatakiwa kuwa ni Mnadhimu Mkuu au Chief of Staff wa Yanga. Unaonaje hiyo? CoS Nzengeli
Tanzania kuna wanaume zaidi ya milioni 30, kati ya hao tufanye wenye sifa za kuoa ni milioni moja.
Hao wote hawqjamuona Hamisa kama anafaa kuolewa bali kuzalishwa tu .
Hatumuonei wivu Aziz ki...
Manara alisema wenye akili yanga ni wawili tu ila hata yeye hana akili pia aliy komwe hana akili na wengineo....akili zao kama za kuku wameprint jezi jina la chasambi kisa tu kujifunga ni upuuzi...
Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL.
Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku...
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia...
Habari za jioni
Ukweli mchungu timu tuliikuza sana mwanzoni mwa msimu.
Ila Yanga sio timu serious kwa heka heka hizi za mchezaji wetu tegemezi + viongozi wa Yanga kupenda kutrend kwa kumuoa...
Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki.
Harusi hii itafanyika ukumbi...
Aziz Ki amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga. Ila kwa sasa imetosha aachwe aende akatafute timu sehemu nyingine anayoona watampa attention kama anayopewa Tanzania.
Ukimtazama uwanjani ni kama...