Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukiniuliza kule Ulaya ni Mshabiki wa Timu gani basi ni wazi kuwa ntakujibu Mimi ni Mshabiki na Mfuasi wa AC Milan. Ukija Bongo ukiniuliza basi ntakwambia nipo Yanga, lakini pia ni mshabiki lialia...
22 Reactions
60 Replies
4K Views
Kuna wakati utamsikia Mtu anakwambia Tanzania kuna Washabiki wengi wa mpira wa miguu,hii si kweli hata kidogo bali Tanzania kuna Usimba na Uyanga usiohitaji hata kushabikia mpira wa miguu au...
2 Reactions
2 Replies
239 Views
GOAT for a reason 🐐 1: If you did 140 successful dribbles every season in all tournaments for 22 seasons, you will have 3080 dribbles. Messi has 3368 dribbles👑 2: If you scored 5 goals from...
1 Reactions
14 Replies
277 Views
Bila kupoteza muda yafuatayo ni mapungufu ya club ya Yanga yanayopelekea ipate wakati mgumu uwanjani hasa inapocheza na timu zinazojitambua na zenye kutumia mfumo wa kujilinda. 1. Beki za pembeni...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC. Zana hizo ni...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Salaam wakuu, mimi ni mpenzi sana wa sanaa za mapigano na nilijiunga na Sensei Ringo pale TASHOKA (Tanzania Shotokan Karate) Russian culture centre ila nilijikuta na drop kutokana na gharama na...
3 Reactions
97 Replies
24K Views
Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana. Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Vinara wa mabao ya Penati katika Ligi Kuu ya Nbc [emoji1241] 2024-25 hadi sasa Mind u clement mzize Hajawahi piga penalty NB Je hii Ina maana Gani List ya vinara wa kufumania nyavu Sent...
2 Reactions
73 Replies
2K Views
Je wangapi tumemiss Ile mivurugano pale Simba sometimes mpira ni mchezo wa hisia Nilikuwa naenjoy sana zile moments za ndugu zetu wanasimba wakiimba hatumtaki mangungu ....mara hatumtaki...
0 Reactions
12 Replies
284 Views
Tutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv. Kocha wetu katushauri tu...
3 Reactions
12 Replies
409 Views
Kuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi?
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu. Uzi Tayari
4 Reactions
35 Replies
915 Views
These injuries saved many football career
0 Reactions
9 Replies
268 Views
Kwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana, Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Umofia wana Jukwaa. Binafsi nasikitika na trend ya timu zetu kimataifa hadi sasa hamna unafuu kwa Timu zetu Kati ya Simba na Yanga. Kuna shida hasa kwenye management Simba iliwaza nini kumsajili...
2 Reactions
14 Replies
812 Views
Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi. Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila...
3 Reactions
19 Replies
500 Views
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa upande wa Jean Baleke ni kuwa anaidai Yanga kiasi cha dola 60,000 ambapo dola 30,000 signing fee na dola 30,000 nyingine ni gharama za kuvunja mkataba, kama Yanga...
5 Reactions
7 Replies
418 Views
Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid. Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano. Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
6 Reactions
110 Replies
2K Views
Back
Top Bottom