KAGERA SUGAR KUMALIZA NAFASI YA TATU 2017, MSTARI WA KUSHUKA DARAJA SASA NA ANGUKO LA MISIMU SITA NYUMA
KAGERA SUGAR FOOTBALL CLUB kuanzia msimu wa mwaka 2018/19 hadi sasa wanashuka, hapa...
Hapa ni mahala salama kwa mpenzi wa Dream League Soccer(DLS). Game hili limetengenezwa na Kampuni ya FIRST TOUCH SOCCER(FTS). Game la DLS ni game bora zaidi kwa sasa duniani kwa upande wa soccer...
Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma.
Taarifa ya Bodi Ligi
Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja...
Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya.
Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid...
Simba SC VS Tanzania Prisons
| NBC Premier League
| KMC Complex
| 11 Februari, 2025
Saa 10:00 Jioni
VIKOSI VYA TIMU ZOTE
Mechi imeanza
1' Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
2' Simba wanapata Kona...
Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa.
Mi nashauri ili...
Kama kawaida kama dawa.
Hii timu ya JKT ina beki imara nimetizama kwa jicho la mpira, vijwna wanautulivu wa hali ya juu kuanzia kipa beki mpaka viungo.
Hawabutui hovyo wala hawafanyi makosa...
Goli lililofungwa na Martin Ødegaard dakika ya 2 lilikuwa na baraka ya kuifanya Arsenal kushusha mvua ya Magoli 5-1 dhidi ya Manchester City katika Ligi Kuu ya England "Premier League" kwenye...
Kuna mahojiano ya Zawadi Mauya baada ya mechi ya Yanga dhidi ya timu yake ya KenGold. Kuna mambo kama matatu hivi yalitokea yamenifikirisha sana.
Kwanza, Zawadi alisema KenGold ilijiandaa kutumia...
Hii airisha-airisha imekuwa too much..Na ni aibu pia kwa shirikisho.
Ili kurejesha msisimko wa Afcon,
CAF kwanini wasipanue vipindi vya miaka 3 kati ya tournament moja kwenda nyingine ili nchi...
Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza.
Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli...
Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga...
ZIJUE KLABU KUBWA NA MAARUFU ZA SOKA ZAIDI DUNIANI
(10) JUVENTUS
Juventus: Juventus ni kabu ya soka inayoshiriki ligi kuu ya nchini italia kwa sasa imewekwa katika nafasi ya 10 katika orodha ya...
Wonder Boy Chasambi nakupa hongera sana kwa kurudi kibabe mchezoni baada ya kujifunga kwa bahati mbaya na kupelekea majonzi makali kwa mashabiki wa Simba na kupeleka furaha kubwa kwa mashabiki wa...
Soka ni mchezo unaopendwa zaidi ulimwenguni, lakini je, kweli Afrika ina nafasi sawa katika uwanja huu wa kimataifa? Ukweli mchungu ni kwamba mpira wa miguu umetumiwa kama silaha ya kudhibiti bara...
Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi
Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine
Coach hakuifanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.