Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani...
Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki...
Wadau wasalaam
Hivi kila kitu mpaka kianzie playa
Kwanini kwenye score board tofauti ya muda wa kuanza mechi na kumalizika isiwe inaonekana,sio libaki swala la referee kwa discretion yake
Mfano...
Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,,
ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha...
Huyu Arajiga ni refa wa kimkakati anaotumiwa na TFF iliyowekwa kiganjani na Yanga, mechi zote za Yanga tangu mwaka jana ameibeba Yanga kwa kufanya maamuzi ya hovyo,mechi nyingi za Simba ameionea...
Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka
Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za...
Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa,
Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Wakati wenzao wakifungua mabox ya zawadi Leo,upande wa pili wao wamefungua midomo na kutoa milio ambayo Kwa takribani siku kadhaa haikuwepo baada ya...
Ehhh wakuu,
Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja.
Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba,
Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya...
Kijana acha kubeti, amua kuachana na utumwa huo bettingi haitakuacha salama
Katika betting sio tu unapoteza pesa bali unapoteza na uwezo wa kufikiri, ubunifu nk
Betting inaweza kuathiri sana...
Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji
Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao
Karibu...
Chukua hii Pele na diogo hawakuwahi kushinda izo tuzo wakicheza Wala hawakuwahi kushindanishwa
But PELLE honored a ballondor 2013 na alipewa tuzo 7 kwa pamoja za heshima tu
MARADONA alipewa...
Hamdi Kocha wa Yanga
"Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni"
"Halafu...
Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k.
Ukija upande wa Yanga hali ni...
Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus.
Mwamuzi anaongeza dk kutokana...
Niwape hii.
Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯
Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯
Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata...
Wanajamvi,
Sijajua hawa Bodi ya Ligi huwa wanatumia kigezo gani kumpata mchezaji bora wa msimu yaani MVP,
Ninachojua ni kuwa mchezaji akiwa na magoli mengi,au asist nyingi basi mchezaji huyo ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.