Huyu Jamaa ni Chawa Kindandaki wa Utopolo toka South Africa kaachia mlio wake kwa kimombo
"I was watching Young Africans match today and I noticed one thing, Aziz ki doesn’t want to play for the...
Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT...
"Bunge linaazimia kwamba Serikali ihakikishe inakarabati uwanja wa Benjamin Mkapa ifikapo April 2025, Serikali iandae mikakati ya kuanzisha chombo maaulumu cha kusimamia uwanja wa Benjamin Mkapa...
Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba...
Tangu msimu huu wa Ligi uanze, Kwa kiasi kikubwa bodi ya Ligi na vilabu vimejitahidi kuboresha viwanja na kuvifanya walau kuwa na hadhi. Ila pamoja na yote kuna baadhi ya viwanja ni aibu TUPU kwa...
Juzi Kengold kutoka Chunya Mbeya imepigwa goli sita kwa moja (6-1) na Yanga.
Leo hadi kipindi cha mapumziko, Prison Tanzania kutoka Mbeya imeshakandwa tatu bila (3-0) na Simba.
Hizi timu za...
Yanga ilishuka lini? Wakati wa pre-season ilichukua ubingwa wa mashindano ya ToYOTA, kwenye Yanga day ilishinda, kwenye ngao ya jamii ilishinda, kwenye ligi imeshinda mechi zote bila kufungwa na...
Kwa nini mara nyingi uwanja anapocheza Uto ukidhibitiwa vizuri, Uto hawatoboi?
Nimejifunza hivyo pale Azam Complex ambapo ikabidi wakimbie. Hata jana pale kwa maafande naambiwa jeshi lilisimama imara.
Wengi hawajui kwamba Puma na Adidas ni ndugu yaani ni brainchild ya mtu na kaka yake ambao waligombana na mpaka wanafariki walikuwa na chuki kubwa baina yao hata hawakuzikana, hio ni story ndefu...
Zinarudi zote na zinaweza kuzidi,
Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo...
Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo:
Tigo Pesa
Airtel Money
M-Pesa
Halo Pesa...
Leo lazima kuwe na ubaya ubwela pale Meja Isamuyo, tafadhalini sana uwanja huo una nidhamu zake, eneo hilo ni kambi ya Jeshi, mambo ya kuingia uwanjani kuruka ukuta ama kuvunja geti mpitie mlango...
Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni.
Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza...
Habari wakuu
Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo...
Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa.
Kudadadeki....!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.