“Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.
“Mchezaji mwenye...
Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88
"Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba...
Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama...
Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT.
Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la...
Sasa hivi kinachoendelea katika ligi yetu sio kitu cha kawaida, sio tena uwezo wa kocha wala wachezaji, ndio maana unaona kocha anafukuzwa leo na kesho timu inapata matokeo kama kawaida, kocha...
Timu ya Singida Black Stars imegoma kuingia vyumbani kwenye mchezo wao dhidi ya JKT Tanzania unaochezwa Meja Jenerali Isamuyo, Mbweni.
Singida BS wamegoma kutumia vyumba vya kubadilishia nguo...
Wakuu
Mshambuliaji wa Singida Black Stars amesema;
"Yanga ni kama nyumbani kwangu hata Singida walipokuja niliwaambia hivyo, yule Rais wa Yanga ni kama Malaika kwangu ni Baba kwangu na nafahamu...
Nimesikiliza radio One leo, (huwa sisikulizi radio) Sasa jamaa wao ni makelele ya MCHEZO SUPA na kupiga simu Kwa wasikilizaji. Yani jamaa anaongea hajamaliza mwingine anaongea na mwingine...
Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo...
The gambling industry is growing every day in Africa, with lottery games attracting more and more young people. In Africa, Zambia ranks seventh, behind South Africa, Nigeria, Kenya, Uganda, and...
Tuna malengo gani na timu ya taifa?
Hivi karibuni tunaenda kukiwasha Afcon kwanini TFF wasitafute kocha aliyewahi kufikisha timu ya taifa yoyote katika hatua ya robo fainali ?
Au tunaenda...
Ubaya Ubwela kwa vitendo.
• Timu kubwa KILELENI.
• Timu ya Wanawake KILELENI.
• Timu ya Vijana KILELENI.
Kwa Simba ndo Timu bora afrika mashariki na kati
Ni wachezaji wachache sana wanaoweza kurudisha kiwango chao hasa waliotumika mda mrefu
Huyu jamaa msimu uliopita alikuwa na wakati mbaya sana. Na kwa kweli mashabiki walikuwa wameshapoteza...
Mpaka sasa ligi kuu TANZANIA BARA ilipofikia unadhani ni goli gani linapaswa kuwa goli bora la msimu huu wa 2024/2025
Kwa upande wangu goli alilofungwa dijgui diara na SELE BWENZI wa kengold(FULL...
Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya
Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on...
Kipa wa Simba, Moussa Camara amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza.
Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.