Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake; Asec 3 -0 Simba Waydad 1 - 0 Simba Simba 1 - 3 Galax Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo; Ahly 1 -0...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania Twiga Stars imefuzu mashindano ya WAFCON 2024 Morocco licha ya kupoteza Kwa Togo. Tanzania imefuzu kwa Aggregates.Hongera sana kina dada. --- Timu ya Taifa ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Tangu uongozi wa kikosi cha Tanzania Prisons ufanye mabadiriko ya Benchi la ufundi hatimaye mambo yamejipa mapema sana
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Mwaka 2016 kwenye CAF Confideration Cup Yanga walikutana na Medeama kwenye kundi moja. Kundi hilo lilikuwa na timu nne ,Tp Mazembe, Yanga, Mo Bejaia na Medeama. Kwenye msimamo Tp Mazembe...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Kocha wa Yanga Miguel Gamond akiongea na vyombo vya habari kabla ya mechi yao na Medeama kesho amenukuliwa akisea "Ni lazima tushinde mechi yetu ya kesho mbele ya Medeama ili tufuzu hatua...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Hapo vipi? Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa. Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa. Hivyo wanapokuja katika michuano hii...
12 Reactions
77 Replies
3K Views
Wakongwe habari! Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi. Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
NBC Premier League leo Alhamis Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa Mjibu wa @optaanalyst hii ndio Orodha ya Vilabu vilivyofanya vyema Barani Afrika kwa Mwaka 2023. Klabu yako inashika nafasi ya ngapi [emoji116] 1. Mamelodi sundown 2. Al ahly 3. Raja...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League. Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye...
1 Reactions
2 Replies
848 Views
"Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu. Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu...
10 Reactions
88 Replies
5K Views
Katika mechi hiyo YANGA inaelekea itafungwa, na watawahi kuvua kambare pale jangwani.
2 Reactions
4 Replies
527 Views
Simba Sc na Young Africans hawana uwezo wa kufuzu Robo fainali Club Bingwa Africa Msimu huu. Wajipange msimu ujao waje kivingine
1 Reactions
2 Replies
729 Views
Nashindwa kuelewa akili za mashabiki wa Yanga. Simba ilipodraw mechi zote mbili African football league mashabiki wa Yanga walisema Al Ahly ni mbovu, mwaka jana Simba walipotolewa na Wydad kwa...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni. Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Sokabet unapoweka mkeka wako mechi moja imebaki alafu haieleweki mambo yamekua ya moto unaweza kutoa Pesa( cashout) kabla mkeka haujaungua wote....SOKABET bana AMUA USHINDI wako......SOKABET...
1 Reactions
2 Replies
410 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…