Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -;
1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza
2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM...
Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu...
Colina Pierluigi moja ya marefa Bora katika Historia ya soka na Mwenyekiti wa marefa wote toka shirikisho la mpira duniani FIFA.
Amenukuliwa akitoa pendekezo kuhusu upigaji mpya wa penati...
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa PAMBA timu ya Mwanza iliyopanda ligi. Timu iliyowahi kutupa furaha watu wa Mwanza na viunga vyake especially Kanda ya ziwa. Tukutane hapa kuwa tunapeana updates za...
Najaribu kuwaza:
Haya Magoli 1000 ambayo nimekua nikiyasikia toka midomoni mwa Kaka zetu, wajomba pengine wazee na vikongwe kuhusu Pele na Magoli yake 1000 ni Chai kongwe kuwahi kutokea kwenye...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya...
Fabrice Ngoma wachambuzi wa ndani na nje ya Nchi wanamuita Midfielder teacher, anapiga pass kwa usahii, anakaba kwa akili nyingi sana ni kiungo aliyekamilika na kiongozi mzuri sana uwanjani...
Football ni mchezo uliotengenezewa udikiteta mwingi sana..
Moja ya udikiteta huo ambao kwangu nauona kama kero ni role ya refa mchezoni..mathalani:
1. Uamuzi wa Refa utakuwa wa mwisho katika...
Nickname(s): Roș-albaștrii (The Red and Blues)
Founded: 7 June 1947
President: Valeriu Argăseală
Head Coach: Elias Charalambous
League : League 1
Website: fcsb
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es...
AFARIKI KISA SIMBASC .
[emoji419] Mwenyekiti wa tawi Kiwalani Jijini Dar es salaam Amefariki Dunia Jana kwa presha Baada ya Simba kufungwa Na Yanga Dakika Za Jioni .
Bwana alitoa Bwana Ametwaa...
Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya...
Kila siku tunalalamika kuhusu waandishi wa habari za michezo nchini kukosa weledi wa kuuliza maswali
Jana baada ya mechi Kocha wa KMC aliulizwa swali ambalo kocha huyo alijibu sawa sawa na...
KITENDO SI CHA KIUNGWANA
Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na...