Huwezi pata jezi nzuri kwenye rangi nyekundu na nyeupe,ukijitahidi kuzichanganya zote mbili utapata vazi la mganga, unajua rangi za yanga nzuri sana,kwanza zinaonyesha vitu vilivyopo duniani, uoto...
TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji.
Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi...
Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi
Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca...
Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee...
Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa...
Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo...
Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM.
Hivi karibuni TFF imeingia mkataba...
Jioneee halaf shusha Reply yako.
JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono...
Nchi hii ilipotoka kwenye michezo kila mmoja anajua kama mtu wa michezo na kama anafuatilia michezo.
Tulikuwa tuna changamoto nyingi Sana Katika michezo viwanja ,usafiri na miundombinu kwa...
Wanasimba viongozi hawaitakii mafanikio timu yetu hivyo ni Bora kuajiri KOCHA MZAWA na tuachane na Jao wanaotaka kumleta mbrazili Fernando Cruz.
Haina haja kuleta makocha ambao hatuwaamini...
Wakuu,
Nimekutana na video ikionesha Timu ya Taifa inainga uwanjani kwaajili ya mchezo wake na Morocco, wakitumia basi ya Super Feo. Namnukuu Msigwa kama alivyoandika kwenye ukurasa wake...
Tuweke siasa pembeni,
Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa.
Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu...
Mageuzi ya kweli kwenye jambo lolote huwa yanahitaji kufanya maamuzi magumu. Wakati mwingine maamuzi hayo yanaweza kushtua watu, yanaweza kuogopesha wengine, yanaweza kukatisha tamaa kwa baadhi na...
Timu ya Taifa ya Tanzania ya mchezo wa Pooltable imefuzu kombe la Dunia la mchezo huo baada kumaliza nafasi ya pili kwenye Mashindano ya All African Pool Black Ball Championship yaliyofanyika...
Kulalamika imekuwa tabia yetu watanzania, jana Stars ilicheza vzr sana, hasa Haji Mnoga, huyu kijana wakati anakuja awali akicheza beki ya kulia hatukuwa tukimwelewa kabisa lkn ss hv yuko timamu...
Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco
KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA
Timu ya Taifa...
Mwaka 2005, Didier Drogba alimaliza vita ya miaka 5 ya wenyewe kwa wenyewe kwao Ivory Coast [emoji1081] alipofunga goli lililosaidia Ivory Coast kuifunga Madagascar. [emoji1155]
Aliomba mchezo...