NESTORY IRANKUNDA, kutoka Wilayani Kasulu, Kigoma, Tanzania mpaka Australia ambapo leo anahitajika na Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani! Ndoto za Nestory Irankunda ni kuitumikia Tanzania...
HAKUNA KUINGIA UWANJANI. Timu bila kocha, CADENA out. Kaua makipa wa Azam, kaua kiwango cha Ally Salum. Kafarakanisha timu, Anaitaka timu. Kama Mo kagoma dili la kipa basi MGUNDA in.
Baada tu wachezaji kuingia uwanjani mashabiki wa Brazil walianza kuwarushia vitu mashabiki wa Argentina, ndipo vurumai kubwa lilipotokea.
Wachezaji wa Argentina wakiongozwa na nahodha wao Lionel...
Salaam,
Viongozi wa Simba nawapa tahadhari tena msije kukurupuka kumsajili Victorien Adebayor raia wa Niger aliyeshuka kiwango sana
Mchezaji huyu amepoteza namba kwenye taifa dogo kimpira Niger...
Kwanini nasema hivyo?
Kwasababu yanga/utopolo ndio ina washabiki wenye roho ngumu kuliko wote hapa Afrika, wanawezaje kukaa na maumivu ya kupigwa 5 kwa 0 pale kwa mkapa mpaka leo hii,ikiwa sisi...
Timu ya Everton imekatwa pointi 10 katika Ligi Kuu ya England (Premier League) kwa kosa la kukiuka Kanuni ya Fedha (Faida na Uendelevu), hali ambayo ilitokea katika Msimu wa 2021/22.
Baada ya...
19 November 2023
Dar es Salaam, Tanzanie
Jijini Dar es Salaam timu ya taifa ya Morocco inaendelea na mazoezi ya utayari kukabiliana na timu ya Tanzania Taifa Stars
المنتخب الوطني يواصل...
Asec Mimosas ya Ivory coast ilichukua caf champions league mwaka 1998 mwaka ambao pia Yanga ya TZ. Ilishiriki.
Pia Asec walichukua super cup 1999 kombe linalotolana na mechi kati ya bingwa wa...
Nimesikiliza leo vipindi vya michezo kuanzia wasafi, Efm, clouds na sasa nasikiliza kipenga aisee naona kuna script hawa watangazaji na wachambuzi wamepewa maana hizi kauli za kumshukuru mama na...
Hapa sasa Mwakinyo kaanza kuwa mwelewa kwa sababu huko nyuma alikataa wito wa mahakama mpaka kupelekewa wito kupitia gazeti la Mwananchi. Pia wakili wake kakubali kusuluhisha mambo yao nje ya...
Mechi inapogwa muda huu, mpaka sasa ni kipindi cha mapumziko Niger 0 Tanzania 0
==
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeanza vizuri Kuwania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa...
Klabu ya Tanzania Prisons imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Fredy Felix Minziro ambaye amedumu klabuni hapo kwa muda wa miezi minne toka aliposaini Julai 14, 2023.
Minziro...
Baada ya timu ya wanaume ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutwaa kombe la African Football League (AFL), jana ilikuwa zamu ya timu ya wanawake ya Mamelodi kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Afika...
Just been told:
Simba SC have officially opened talks with Tunisian gaffer Radhi Jaïdi (48) to take over as the club’s new head coach. [emoji599][emoji1249]
Jaïdi previously worked at...