Nitaelezea kwa ufupi sana maoni yangu ya kisomi kuhusiana na ishu ya mabango ya Yanga yanayoonyesha matokeo ya mechi yake na Simba yaliyopachikwa maeneo mabalimbali Dar es Salaam.
Upande mmoja...
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba club ya Simba ikimfukuzia mchezaji wa Yanga Aziz K.
Mkataba wa Yanga na Aziz K unaelekea ukingoni wakati wa dirisha dogo la usajili kufunguliwa.
Imekuwa ngumu...
Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi.
Hizi porojo za kila siku redioni...
Salaam Wana JF [emoji113] 5
Kwa mwaka huu tumeshuhudia mpira wa Africa ukiendelea ku shine kwa ukubwa sana kiasi kwamba kuvuta attention kubwa Duniani, especially Baada ya kuanzishwa kwa Africa...
TFF haina bifu na Yanga kama inavyosemekana but inasimamia Sheria strictly Kwa Yanga kuliko timu nyingine ,.......unajua kwanini Kwa sababu yanga mwaka 2021 waliwagomea TFF kubadilisha muda...
Shirikisho la Mpira barani Ulaya (UEFA,) limeipongeza Tanzania kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Karibu Tanzania Organization (KTO,) kwa jitihada zinafanywa katika kukuza soka la wanawake na...
Nimemsikia mtu mmoja akitoa hoja ya kushitaki mahakamani mabango yaliyowekwa na Yanga barabarani. Ukweli ni kwamba aliyeyaweka haya mabango inaitakia mema Simba kuliko huyu anaetaka mabango...
πππ π[emoji2956][emoji617]
Baada ya mchujo kutoka 10 bora, Young Africans SC rasmi tumeingia 5 Bora kwenye Tuzo za Klabu Bora ya Mwaka Barani Afrika #cafawards2023
#timuyawananchi...
Mimi kama mwana Yanga, nafurahi mno kwa ushindi wa tarehe 5 kaa goli 5.
Lakini naona sasa inakua kama si sawa hadi kuchonga mabango na kuliweka kisa goli 5.
It's enough sasa utani uendelee...
Argentina akicheza katika uwanja wake wa Estadio La Bombonera jijini Buenos Aires amekubali kipigo cha goli 2 bila majibu kutoka kwa mtani wake wa jadi Uruguay katika Derby ya kusisimua...
Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi...
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31...
Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo.
Viongozi...
Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua...
Sisi mashabiki mentality yetu ni. tunasubiri kutangazwa kwa kocha mpya na siyo vinginevyo.
Hata mkileta porojo nyingi ni kwamba kiuhalisia hatuna imani na makocha waliopo kwasababu hata kocha...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahia bao la nne la mkwaju wa penalti lililoipa ubingwa Zanzibar Karume Boys wa CECAFA kwa vijana chini ya...
Alikamwe akihojiwa kuhusu suala la ukiukwaji wa Sheria Baada ya kuweka bango la kichapo Cha 5 - 1 Baada ya Rage kusema wataenda mahakamani kudai Tsh. 100 million Kwa kosa la bango la Yanga
Haya...
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye...
Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga...
Klabu ya Yanga imeripotiwa kuwa ukingoni kukamilisha dili la kumsajili kiungo mkata umeme kutoka Ivory Coast, Djire Abdoulaye kutoka klabu ya Racing Club Abidjan. Young Africans SC inahitaji...