Kwa kile kipigo cha aibu timu yetu ya Simba ilichopata mbele ya mpinzani wake, itakuwa jambo la busara kwa viongozi wote wa bodi ya wakurungenzi ya Simba wote kujiuzuru,wakiongozwa na Abdala...
Kati ya vitu vinavyoniletea shida ni Ajira za Hawa waheshimiwa na walimu wengine kwa ujumla.Ebu tufikilie hapa kocha au mwl anapewa timu na anafanya kwa kadri ya uwezo wake na mwisho wa siku yeye...
Wakuu,
Hakuna asiyefahamu kuwa hivi sasa pana mgao wa umeme nchini hivo nawaba sana sana wachambuzi wetu wa michezo radioni kuipa heshima ligi yetu ya mpira wa miguu.
Kipindi kinaanza tatu...
Toka kichapo Cha mbwa Koko makolo mnaongea Kama wehu ebu acheni kuweweseka,ni nini hasa sababu ya kutepeta wakati mvua mali yetu?ni Nini hasa
1.uchawi ,pale walipoonekana Yanga wanamwaga maji ya...
Yenyewe ndio ilisajili garasha kipa Ayoub kwa Bilion 3. Pesa iliyotosha kabisa kumotisha kikosi kizima mwaka mzima.
Yenyewe ndio iliyompangia kocha timu muda wote.
Yenyewe imeshindwa kumotisha...
MACHO na masikio yote ya mashabiki wa soka nchini kwa sasa yameelekezwa katika mchezo mkali na wa ‘Derby ya Kariakoo’ utakaozikutanisha Simba itakayokuwa wenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin...
#TANZIA:Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo ametoa salamu za pole kwa familia ya Bw. Girimaru Sindano (36) mkazi wa Kijiji cha Iharara, Wilaya ya Serengeti aliyefariki baada ya Timu...
Mwanzoni ilikuwa dhahiri miongoni mwa mashabiki wa Simba kutomkubali kocha wao. Kufuatilia timu kutocheza vizuri na kuruhusu goals ktk mechi nyingi, wengi walipenda kocha atimuliwe. Ghafla siasa...
Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.
Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.
Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya wale wazee...
Yes pale Simba wamevurugana haswa wamevurugwa na kichapo kizito cha magoli matano kutoka kwa Yanga. Wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewana kabisa huyu akiambiwa lete ndoo yeye analeta...
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tangu tuanze safari ya Mabadililko Klabu yetu imepiga hatua kubwa sana katika nyanja mbali mbali.
Pamoja na maendeleo ambayo Klabu yetu imepiga katika...
Ukweli mchungu lakini ni dawa endapo utafanyiwa kazi japokua unaumiza mioyo ya watu.
Nilimsikia Robertinho akihojiwa Tena aliulizwa na mwandishi '"kwa Nini unapata matokeo lakini timu haichezi...
Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo;
1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja
2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake
3. Kumpanga mara kwa mara Kibu...
Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake.
Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu...
Hizo tarehe zote hakuna mwanachama/shabiki/mpenzi wa either Simba or Yanga anapenda kuzisikia. Mwaka 2012 tarehe 6 ni tarehe ambapo Yanga alipokea kisago kizito kutoka kwa Simba na miaka 11...
Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda.
Taarifa ikufikie ya...