Ni mbinu tu zimewafunga na Wala msimlaumu Mtu. Sio Kocha, sio wachezaji Wala sio kipa. Ni mbinu tu zilizidiana.
Tulieni, timu sio mbaya. Don't do anything stupid, you will greatly regret.
Ndugu zangu mashabiki wa simba sc hawa watu wawili ndio wanaididimiza simba tunahitaji twende mbele ila tunarudi zaidi nyuma ukiangalia simba ndio imefanya ligi ya tanzania itambulike kwa 80%huko...
Leo majira ya saa 3 asubuhi Viongozi wa bodi ya uwekezaji walikutana.Mmoja wa kiongozi mkubwa kabisa Kutoka upande wa bodi ya uwekezaji ameutaka Uongozi wake ufatilie simu za mwenyekiti wa...
Alionekana kutokueleweka na ikapelekea mashabiki kuutaka uongozi umfungashie virago.
Tofauti na matarajio ya wengi kocha Robertinho amefanikiwa kuibadiri Simba SC kutoka kucheza possessive...
Nimeona mashabiki wakigawanyika katika mtazamo wao.
Kuna wale wenzangu mimi,tukiona timu inafanya vibaya au ina dalili za kufanya vibaya,tunaumia na kulalamikia vitu tunavyodhani ndiyo sababu...
Baada ya kichapo heavy nikiwa shabiki Lia Lia wa Simba sc nahitaji wanasimba wenzetu tupige kura hapa ya kumfukuza Robertinho au tufukuze wachezaji??
Njoo haraka sana.
Ukweli mchunguuu Ni kuwa wachezaji Kama CHAMA, KAPOMBE, ZIMBWE, INONGA nk. Wao pia ni binadamu wanachoka.
Kila mechi wao, kuanzia NBC mpaka kimataifa hata mechi za kirafiki ni wao wao tu hata...
Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred.
Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane.
Hivi...
Kwa heshima kubwa napenda kuishukuru Simba Sports Klabu. Hii timu ilifanya umafia ambao naushukuru hadi Leo. Walivamia Airport wakamuiba Ngoma wakajiona majambazi. Chezaji ngongoti, legelege...
Wakati wengine wanaangalia tu matokeo ya uwanjani na timu inavyocheza, wengine tumekuwa tunaangalia mazoezi ya Simba na kuanza kuona mapungufu ya kitimu kuanzia huko.
Nakumbuka kuleta uzi...
Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba.
Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga...
Kitendo cha Mo kusema ametumia bilioni 3 kuleta kipa bomu, ni utapeli wa waziwazi, matokeo yake kipa hapangwi, anachezeshwa mgonjwa!
Utashangaa hakuna shabiki anaeuliza hili kisa ni Mo...
Salam Wana jf [emoji113][emoji113][emoji23]
Kabla ya mechi robertinho ilibidi aweke msisitizo mkubwa kwenye viungo ( kukaba sana) Ili kusumbuana na viungo wa Yanga
Kosa alilofanya robertinho ni...
Kumekua na kasumba ya kulinganisha wachezaji na mahesabu kihasibu kupigwa namna gani mchezaji anaitia hasara timu.
Lakini Cha kushangaza toka atue Yao (jeshi) beki kitasa, beki serious beki...
Simba fanyeni tathmini, nimekuwa nikifatilia sana uwanja wa mazoezi Bunju, kila tunapocheza na Yanga ni sare au kufungwa, tangu tulipofungwa bao na Morrison hadi leo.
Fanyeni tathmini tumemfunga...
Tanzanian giants Yanga SC players will receive a massive R3.6 million bonus for their emphatic victory in Sunday’s Kariakoo derby against their arch-rivals, Simba SC.
Yanga SC pummelled a...
Jana kuna tukio lilitokea na kujirudia kama lilivyotokea miaka 11 iliyopita.
Miaka 11 iliyopita Simba ilimgaraza Yanga magoli 5-0. Emanuel Okwi akiwa kashatupia goli mbili, Simba wakapata penati...
Mambo vipi Mdau,
Naombeni mniweke sawa kuhusu hili. Nasikia kuna kampuni za kikanjanja watu wamepiga pesa lakini mkwanja mpaka sasa kuna baadhi ya watu hawajapata, kama mtu anataarifa zaidi...