Je, ni uchumi kukua kiasi kwamba watu wanapesa za kula na za anasa na burudani?
Je, ni ugumu wa maisha watu wameamua kupoteza lengo katika burudani na michezo?
Je, ni kukua kwa kiwango cha...
Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana.
Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi...
Kipa aliye Fiti 99.9% kwa sasa ni Mwarabu Ayubu Lakred na kutokana na Urababu wake na ikizingatiwa leo tunacheza na Waarabu Wenzake Kiutamaduni na Kinujumu akidaka Yeye atatusaidia na Mechi kuwa...
Kuna za chini chini Zina vuma kuwa huu mtego wa Al ahly utamuondoa sambaroketo boy.
Alitafutwa kwenye gemu ya power dynamo akawa ameutegeua huo mtego kwa kudroo ikawa pona yake Sasa viongozi wa...
Unajaua hata kama tumefungwa lakini hatua tuliyo ifikia nyie vyura amauwezi fika miaka buku. Kwa mpila wa leo karibu dunia nzima wameangalia, alafu hii ndo mechi ambaya club za Africa zimekutana...
Mnaenda kucheza na Professional players ambao they can make a difference popote na muda wowote.
Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu, sio agenda tena kama ilivyokuwa kwa RAJA de Casablanca.
Nimeongea...
Baada ya Vilabu vikubwa vya Ulaya kufanya uasi juu ya UEFA na FIFA kwa kutaka kuanzisha Super League, FIFA chini ya Professor Wenger waliwaza ni vipi watapunguza kiburi cha Vilabu Ulaya?
Wakaja...
Tanzania kukubali kuwa mwenyeji katika ufunguzi wa mashindano haya ya Caf ni heshima kubwa sana. Hivyo haiwezekani uongozi wa Caf ukubali Simba ifungwe game hii ya ufunguzi.
Hivyo itakuwa tayari...
Leo ndio leo. Hatimae ile siku iliyo subiriwa miezi kadhaa imetimia ni masaa wachache tu tukashuhudie mnyama simba akiandika historia nyingine. Simba anakuwepo katika kundi la timu chache...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma...
Hivi hata message za msiba mpaka wakopi na kupaste hii ni aibu sana kwa taifa na wananchi. Hizi tim janja janja zimekua nyingi kama wanaajili watu hawajui ngeli ni aibu kwao.
Watu wa msalaba mwekundu( huduma ya kwanza) kimekua ni kichaka Cha kupotezea muda haswa pale timu inapokua inaongoza.
Nijuavyo Mimi na Kama Kuna mtu anajua zaidi atanisahihisha.
Huduma ya kwanza...
Nimeshangazwa na hii habari iliyoandikwa na ukurasa wa mtandao wa mwananchi kuona Ally kamwe kupigwa faini.
"Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe ametozwa faini ya Sh1 milioni kwa...
Ndiyoo!! Nilishangazwa na timu ya Simba sc kuomba mchezo wao dhidi ya Singida fountain Gate Fc kupelekwa mbele ili wafanye maandalizi ya kukutana na Al ahly ya Cairo misri.
Ni Bora Simba sc...
Wamezoea kupenyeza ushirikina katikakati ya uwanja na kufukia uchawi lakini safari hii wale wanaowatumiaga wanajiita "makomandoo" uchwara wamepigwa marufuku kuingia ndani ya uwanja wakijifanya...
Al ahly hawawezi kuruhusu kupigwa na kikosi kibovu chenye wachezaji wazee Kama Saidoo ntibazonkiza, John Rafael Bocco na Yule mchezaji mwenye speed ya Konokono.
Hawa wazee watambe wanapo tamba...
Yanga wanajinadi ni Mabingwa wa Kihistoria mara 28, naomba wapige picha au video fupi ya hayo Makombe 28 ya Ligi Kuu yaliyoko kabatini.
Bila shaka Makombe hayo yote wanayo basi watuonyeshe.
Hi michuano inapeleka upendeleo kwa baadhi ya vilabu hususan hivi vikongwe Kama Raja Casablanca, AS Vita, Yanga Africa, kaizer chief na club afrcane ya nchini Tunisia
Nimeona baadhi ya video...
Kama ilivyo kawaida kwa mechi kubwa inavyokuja mimi kama Mchambuzi Bora hapa JF lazima nilete analysis ya mechi before Ili kumsaidia kocha kufanya right decision at right time. Japo nimemsikiliza...