Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1. Kama katumia miaka Sita (6) kuitafuta Degree yake (isiyoeleweka ) Open University of Tanzania (OUT) kutokana na uhaba wa Akili alionao Kichwani ataacha kuwa Mpuuzi hivi? 2. Kama kila Redio...
24 Reactions
97 Replies
6K Views
Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
4 Reactions
144 Replies
8K Views
Mimi sio shabiki wa hizi timu ila nikiziangalia kiundani ni kama zimekaa kisiasa sana. Na huwa najiuliza hizi timu mbili ni kama zinatumia pesa nyingi sana kuliko pesa wanayo ingiza nikijaribu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanajukwaa natumai nanyi ni mashuhuda timu yetu ya taifa stars haipati mechi nyingi za kirafiki tofauti kabisa na mataifa mengine hata majirani zetu wote wanacheza kwanzia mechi mbili hadi tatu...
1 Reactions
5 Replies
732 Views
[emoji3578]Anaandika Ahmedy Ally Al Ahly amewahi kuchukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho mara moja tu tena miaka 9 iliyopita. Wydad Casablanca hajawaji kuchukua Ubingwa wa Shirikisho hata group...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Baleke, Chama na Kibu wataivusha Simba SC kwenda semis Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa. Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Tutumie uzi huu kuipongeza Simba kwa kumpatia Mgunda nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Simba. Naamini kabisa kuwa Mgunda almaarufu kama Gurdiola Mnene ataifanyia Simba maajabu ambayo hatujawahi...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league. 1) Tp Mazembe 2) Es Tunis 3) Petro Luanda 4)Horoya 5)Simba 6) Wydad 7) Mamelod 8) Al Ahly Wakati mashindano haya...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau nimesikitika sana kitendo cha Ndege ya mizigo iliyopokelewa jana kuja nchini bila mizigo wowote. Laiti kama Tungejua mapema kuwa Yanga hawatabeba Kombe ilitakiwa Warudi kwa kupanda ndege...
0 Reactions
3 Replies
355 Views
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya kununua magoli ambayo yatafungwa na timu kubwa na mianba ya soka la Afrika Simba SC katika michuano ambayo...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
YANGA YAIBEBA SIMBA ISISHUKE DARAJA 1988 Simba Msimu wa Pili mfululizo kunusurika, bali ushindi wao wa magoli 2-1 dhidi ya Yanga uliwanusuru ilikua Jumamosi Julai 23, 1988 mwaka huo kwenye Uwanja...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam Wana jf Ukistaajabu ya Musa ...utaona ya Mzee pharaoh, timu inayojinasibu Kwa kuota kuwa itamtoa Al ahly chaajabu imeambulia 5% za kubeba Kombe Hilo [emoji23][emoji23][emoji23] hiki ni...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Uchambuzi Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al Ahly. Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. +...
15 Reactions
129 Replies
7K Views
"Siwezi Kupanda Ulingoni kupigana na Mabondia wa Tanzania Kwa Sababu nimegundua wote wanaonitaka ni Wanawake, Kama Wanaona Kupanda Ulingoni na Mimi ni Kupata Hela Basi Mimi nipo Tayari kuwalipa"...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hii ni weekend sihitaji vitu vigumu. Nimekuletea dogo aliyegoma kuwa Utopolo kama Kilimbatz Hivi nini hutokea mpaka mtu anakuwa Yanga?
4 Reactions
13 Replies
883 Views
Wadau na wapenzi wote wa soka Tanzania Nawataarifu Jumamosi Oktoba 21,2023 saa 2 asubuhi kutakuwa na shughuli maalumu kuwafariji Wana Simba kwa kipigo watakachopata kutoka Mabigwa wa Africa Al...
2 Reactions
0 Replies
230 Views
Kwa mujibu wa mtandao wa hispania wa SPORT mwanasoka wa Argentina Lionel Messi atashinda tuzo yake ya 8 ya Ballon d'or akimshinda mpinzani wake Erling Haaland. Aidha kwa upande wa wanawake tuzo...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Jee kesho Yanga watatupa raha dhidi ya Etoile d'Or Mirontsy ya Comoro?. Kila la heri Yanga.
0 Reactions
43 Replies
6K Views
1. Kuongeza Ujuzi wa Kisaikolojia: Michezo vya kielektroniki, mfano Spin&Win huchangia kuimarisha ujuzi wa kisaikolojia kama vile kutatua matatizo, kufikiri kwa uangalifu, na kufanya maamuzi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…