Bus la wachezaji wa Dodoma Jiji FC limepata ajali likiwa njiani kutoka Mkoani Lindi kuelekea Jijini Dodoma, ajali imetokea katika eneo la kati ya Nangurukuru na Somanga wakati linatokea Ruangwa...
Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali...
Jonathan Sowa Amecheza Dakika 72 ligi kuu na Ana Goli moja
Deus Kaseke Amecheza Dakika 6 ligi kuu na Ana Goli Moja
Elie Mpanzu Amecheza michezo jumla 10 hana hata Goli la Offside
Kibu Denis...
Nyuma mwiko ni timu inayowekeza sana kwenye propaganda.Propaganda hii imekuwa kubwa kiasi kwamba inaweza kuambatana na mipango ya nje ya uwanja kuathiri matokeo ya mechi ndani ya uwanja.
Mfano...
Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni...
Wakuu naomba tuchambue jambo hili limekuwa linaongelewa sana kwenye media
Ni Kwamba inasemekana Simba tu ndio hukutana na upinzani mkubwa kwenye ligi..... tofauti na timu zingine kama Yanga na...
Kansas Chiefs wamekuwa mabingwa wa mpira wa marekani kwa miaka mitatu mfulilizo. Leo hii wanapewa kibao sana na Philadelphia Eagles. Miaka ya nyuma kidogo mwanafunzi wangu mmoja alikuwa akichezea...
Huu uzi si wa kutetea upuuzi alioufanya Ladack Chasambi katika mechi ya jana kati ya Fountain Gate vs Simba. Huu uzi nia yake kuelezea maeneo mawili ambayo Simba imekuwa na tatizo nayo kwa muda...
Ni kweli kwamba kocha wa timu ya taifa ya tanzania ya mpira wa miguu analipwa hela nyingi kuliko makocha wengine wote afrika?
Naomba mwenye info atumwagie hapa jf
Inaelekea kuna bifu kati ya vyombo vya habari vya IPP Media na Klabu ya Simba, wamesusa kutangaza habari za Simba kwa zaidi ya miezi mitatu sasa; kuanzia redio-one, ITV na hata magazeti! Hata...
SIKU YA MECHI KALI.
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
p
UPDATES.....
4:15pm Kandanda imeanza tayari,
Game inapigwa zazuri kabisa.
DK 2
Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG...
Wachambuzi na watangazaji wa Azam Tv wanapata taabu sana kuwatetea akina Faisal na wenzake,
Timu inabebwa haibebeki wanaulizwa hiyo ni penati au la, wanapatwa na kigugumizi
Kuwatetea Azam FC...
Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi...
Eng Hersi ni Mwanasiasa anaeitumia utoopolo , Yupo Utopolo anatumia Nafasi hiyo kulisaka Jimbo
Timu Nyingine inayoongozwa kisiasa ni Singida chini ya Mwigulu, angalia mambo yanavyofanyika kisiasa...
I will be short.
10 matches in, Arajiga ajapewa mechi hata moja ya Simba.
Ila Yanga kachezesha mechi 4 zote Simba hata moja. Kama hii sio match fixing ni nini?
Note: Wote wapo hapa hapa Dar.
Coach Ramovic nitakukupopoa hadi utakapobadilika.
Mimi kama mtaalam wa football na mwanachama wa Yanga bado Ramovic hajanishawishi Kwa mbinu zake
Leo ameanza na mabeki 5 nyuma Bacca, Job, Boka...