Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwenye pita pita zangu nikakutana na habari kuwa Avic town ilipata ugeni kutoka tawi la watu wenye matatizo ya macho. Wanachana wa Young Africans ambao waliwatembelea wachezaji kambini na...
7 Reactions
8 Replies
419 Views
Yaani jamaa wako stejini wananengua,wengine wako viwanjani wanacheza tu mpira,hizo nguvu mgezitumia vitani M23 wangeshasalimu amri Mwaka 1978 nilijitoleakumfurusha iddi amini kule uganda nikiwa...
5 Reactions
27 Replies
503 Views
Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao...
3 Reactions
34 Replies
977 Views
Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini. Wanahabari walikurupushwa usiku...
3 Reactions
13 Replies
880 Views
Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu...
4 Reactions
28 Replies
780 Views
Wazee naomba kufahamamu ni timu Gani inatoa jezi nzuri Kila msimu Kwa dunia nzima bila kuonyesha ushabiki hata kama huishabikii ila sema tu jamaa wanatia jezi Kali nasubiri majibu yenu wakuu
4 Reactions
64 Replies
1K Views
Mpira ni mchezo wa makosa, hilo ni kawaida kwa wa mpenzi wa mpira tunakubaliana isipokua wapenzi wa Simba na Yanga. Ingekuaje Mussa Camara angeamua kuudaka ule mpira? Madhara yangekua yapi katika...
0 Reactions
7 Replies
533 Views
First Tanzanian team to play in CAF competitions: Young Africans S.C. (Yanga) was the first Tanzanian club to participate in CAF competitions, making their debut in the African Cup of Champions...
4 Reactions
21 Replies
492 Views
Zamani kwenye hizi drama za mpira wa Simba na Yanga nilikuwa nasikia kuna wachezaji wa kigeni walikuwa wanafanya makubaliano na timu moja wakiwa nje ya nchi halafu wakifika Tanzania timu nyingine...
0 Reactions
4 Replies
214 Views
Ubaya ubwela,kama mbwai mbwai tu,ukimwaga mbiga namwaga ugali, ndivyo unavyoweza kusema. Kocha wa dunia Miguel Gamondi ametishia kuitisha press na kusema yale yasiyojulikana. GSM fanyeni...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
HIZI NDIO JEZI ZA SINGIDA BLACK STARS “Hizi ndio aina ya jezi watakazotumia Singida Black Stars Fc zamani Ihefu fc kwa msimu huu wa ligi ya NBC Singida Black star wazamini wao wakuu ni kampuni ya...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Baada ya mechi ya kukata nashoka Jana na wanasimba kutoka kidedea Kwa kupata point 1 picha mbalimbali za semaji la simba Ahmed Ally Zifuatazo ni picha za semaji Sent from my TECNO KG5j using...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Sijaona Chochote zaidi ya Migogoro na kulogana, Hebu angalieni Chama cha soka cha Temeke, miaka yoyote ni migogoro, fitna, Majungu na Uchawi. Nashauri Vyama vya soka vya Wilaya Vifutwe, havina...
0 Reactions
5 Replies
174 Views
Kinujumu (Kinyota) na hata Kihistoria ya Klabu yetu ya Simba ikiwa na Mechi zake katika Siku za Alhamisi kama ya hii Leo huwa inapata Matokeo makubwa mawili tu ambayo ni ama Kusare au Kufungwa...
25 Reactions
84 Replies
3K Views
Aliwahi kusema Simba hakuna role model wake na role model wake ni Max Nzegeli Sasa Nzegeli anatua msimbazi na Chasamvi anatua benchini mpaka mkataba wake huishe, Sio kwajishuti lile
1 Reactions
8 Replies
458 Views
Shirikisho la soka Duniani FIFA limetangaza rasmi kuifungia Congo DR uanachama wake kwa muda usijulikana kutokana na machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini humo na kusababisha vifo. Kwa maana...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Siasa jamaa wana boa...watu hawachoki sasa mkitaka kuwind down the huku ndiko mahala pake. Assuming mshatazama the WIRE zote JUST CLICK and play HAPA...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Tunaomba tupeni pesa halali zilizopatikana na muache uhuni mliokuwa mkiufanya kudanganya pesa zilizopatikana huku watu wanaonekana wengi..sasa sijui ya simba na yanga mtasemaje hata watoto...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabingwa wa soka Tanzania Jumapili wameianza vizuri Ligi kuu ya Vodacom kwa kuitandika Tanzania Prisons ya Mbeya mabao 4-0...magoli ya Yanga yamefungwa na Boniphace Abani(magoli 2),Athumani Idd...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…