Jadon Sancho
Uamuzi huo ambao umeelekezwa anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, umechukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa ManchesterUnited...
Leo kipekee nampa maua yake mapema sana mtajwa hapo juu, kwa bidii na weledi anaouonesha kwenye kazi zake. Vijana wanaojituma kukuza taaluma zao wanahitaji kupongezwa na kuombewa dua ili wakue...
Ukiona mashabiki wa Simba wakilalamikia timu yao,kama una akili nzuri,utakumbuka jinsi mashabiki hao hao walivyoishangilia timu ikiwa imefungwa ama kutoa sare huku wameonesha soka bora kabisa...
pesa yangu ipo reserved tokea tarehe 3 haijarudi kwenye account ya merdianbet mkipigiwa hampokei,
hela zetu mnakula ila nyie mkiliwa mnasumbua kutoa
uzi tayari
Bado najiuliza sana kama TFF na taifa tuna ndoto za kuzipeleka timu zetu kimataifa. Ilitakiwa weekend hii match ziendelee ili kuweka good fitness kwa wachezaji wetu hasa wa timu zetu...
Kwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?
Mnaofahamu hebu...
Siku chache tangu aliyekuwa Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer kunukuliwa akisema kuna wachezaji wawili walikataa cheo cha unahodha wakati wa utawala wake imegundulika kuwa mastaa...
Salaam,
Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini.
Kwa upande wa klabu...
Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi
Baada ya kuipaisha tanzania kimataifa mchezaji huyu kaweka uzalendo mbele. Kaja kuinua...
Kisheria kama timu zimelingana kila kitu kwenye msimamo wanapangwa kwa Alphabet A-Z
Angalia IHEFU na KAGERA kisha angalia COASTAL na TANZANIA PRISON wamelingana kila kitu na wamepangwa kwa...
Karne ya 21 tumeshuhudia mengi Sana kwenye michezo,ya kutia aibu mfano kukosekana kwa disc lenye wimbo wa taifa ndani ya uwanja wataifa Hadi yale ya kubadilisha muda wa mchezo bila timu shiriki...
Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC.
Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania.
Sio kwamba wengine...
Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane...
Kuanzishwa 1925
Mchezo wa kwanza
Uganda 3-10 Tanganyika
Baada ya Muungano 1969
Tanzania 10-1 Kenya
Ushindi mkubwa kwenye mechi ya mashindano
Tanzania 7-0 somalia,,,jinja Uganda 1/12/1995 na...
Watu wengi wanamlaumu sana Kocha wa Simba jinsi anavyopanga timu na chaguo la wachezaji anaowachezesha kipindi cha kwanza au cha pili.
Shutuma ya pili ni mbinu za kimchezo anazotumia Kocha huyo...
Jana wakati Hija Ugando anacheza rafu ya bahati mbaya, mm kwangu nasema hakudhamiria, dhidi ya Inonga Baka, kiungo mahiri ambaye kiukweli nampenda sana na ananivutia hadi kesho ufundi wake...
Mimi kwangu naona pande zote mbili wana hoja, kuna wanaokosoa uwezo wa timu na kuna wanaosifia.
Wanaokosoa wanaona Simba haichezi vzr ingawa inashinda, wanajua Simba inavyocheza, Simba...