Naangalia match ya Simba vs Coastal Union, camera za Azam leo ni Cristo puuzi mtupu huwezi kuona vyema.
Tatizo hili lipo kila match ila leo mmezingua sana.
USSR
Timu ya Wananchi Yanga imeibuka washindi wa timu bora ya wiki kwenye michuano ya CAF CHAMPION LEAGUE raundi ya Pili.
Mashabiki 23,825 walipiga kura huku mabingwa wa Tanzania Yanga wakipata...
Leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
Hii ndio timu pekee inayoshiriki ligivkuu kutoka mkoani Kigoma.
Mashujaa FC ni timu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, na msimu huu 2023/2024 wamepanda daraja baada ya kuifunga timu...
Bodi ya Ligi (TPLB) imekataa maombi ya Simba SC ya katakana kuutumia uwanja wa Azam compex, kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union ya Tanga.
Simba SC imeomba kuutumia uwanja wa Azam...
JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
Kutokana na ubora wa yanga kila ambapo mechi ya yanga inapoisha kumekua na maneno kutoka kwa mashabiki wa timu kubwa pinzani na yanga kwamba yanga anacheza na timu dhaifu.
Baada ya kushinda goli...
Habari za muda huu wadau wa sport
Naomba kujua hili suala kwa undani zaidi, hii timu inamilikiwa na nani? swali hili linatokana na maelezo ya kocha wao Ernest
Kwanza hii timu mwanzoni ilikuwa...
Kwa namna mchezo ulivyopigwa leo hii kati ya Yanga na Namungo ni dhahiri kuwa Namungo waliwawin Yanga, na hii ni Ukomavu na ubora wa Kocha wa Namungo Cedric Kaze katika Usukaji wa Safu ya ulinzi...
Ikicheza kwenye Uwanja wa ugenini, Manchester United imefungwa magoli 4-3 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kundi A.
Magoli ya Bayern yamefungwa na Leroy Sane, Segre...
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi ya NBC.
Ikumbukwe katika michezo miwili iliyopita ya ligi Yanga...
"Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain...
Inapoitwa timu ya wananchi basi ujue inajitoa walau kusaidia wananchi, Yanga ni kawaida sana kuchangia damu, wakienda mikoani karibu kila mechi watafikia kituo cha watoto yatima, waathirika wa...
Bodi ya Ligi TPLB, imekataa maombi ya Simba SC ya kataka kuutumia uwanja wa AZAM COMPLEX, kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union ya Tanga.
Simba SC imeomba kuutumia uwanja wa AZAM...
Mara utasikia wameenda kuonana na Raisi wa Nchi Fulani, mara utawasikia wanaimba nyimbo za Chama Fulani cha Siasa wakifunga goli, mara unasikia Chama Fulani Cha Siasa kimepeleka wanachama wake...
Wiki mbili zilizopita mwanaradha pekee aliyewakilisha mbio za dunia za marathon alishindwa kumaliza mbio hizo ambazo zilifanyika Hungary.
Leo mwanariadha mwingine ameshindwa kumaliza mbio hizo...
Ntawarejesha baadae kidogo jinsi mo alivyoshiriki kutudanganya juu ya bilion 5 za usajili na babra Alivyoamua kumchamba live.
Turudi kwa kipa. Kipa yule Hajui lolote kuhusu kudaka mpira kwenye...