Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
WATAKATAA KUSAJILIWA SIMBA . Itafika Stage Wachezaji Wazawa Watakataa Kusajiliwa Simba, Labda Kwa Yule Anayehitaji Pesa Kuliko Kucheza Mpira. Yuko Wapi Kapama , Mwanuke ? Hivi Hawa Wachezaji...
19 Reactions
38 Replies
3K Views
Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi sana vilabu kutoka Tanzania vimekua si lolote si chochote kwenye soka la Afrika mpaka pale Simba SC walipo kata utepe kwa ku Qualify Group stage, kwa umri wangu ndio mara ya kwanza...
23 Reactions
79 Replies
5K Views
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anaongoza kwa kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika maisha yake ya ukocha kufanya usajili, akiwa kwenye nafasi ya Kocha Mkuu kwenye klabu zote alizotumikia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nimemsikia Shaffih Dauda akiongelea mchezo wa Simba na Power Dynamo,.anahofu kuwa kuna mgogoro ndani ya klabu ya Simba, kwamba hawako pamoja, bado wale walioshindwa uchaguzi wana kinyongo...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Winga huyo wa Manchester United alifunguliwa mashtaka na Wanawake watatu ya unyanyasaji na kuwashambulia, hiyo wamebaki wawili katika mchakato huo. Antony (23) kwa sasa yupo nje ya majukumu ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Simba Sc na uongozi wake kiujumla kwa hatua hii kubwa. Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS, Iliyotoka mapema jana...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza. Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge? Simba ilifungwa? Hapana Imeshatolewa CAF CL? Hapana Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Hàbari za Jumapili wapendwa. Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amefanya ziara Uwanja wa Benjamin Mkapa hivi Septemba 17, 2023 jijini Dar es salaam kujionea ukarabati wa uwanja huo ambao...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwanariadha wa kimataifa Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza baada ya kupata changamoto ya kiafya kuanzia kilomita 30 na alipofika kilomita 35 akashindwa kuendelea na kapumzika. Walichoandika...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Maamuzi aliyoyafanya feisal december muda ndo unatuonyesha yalikua yakijinga sana Feisal ni kweli analipwa mshahara mdogo ila ni ukweli uliowazi ukitaka kuondoka kihuni vile ni timu chache...
22 Reactions
74 Replies
6K Views
Leo Simba na Yanga zimecheza hatua ya pili ya mtoano (klabu bingwa Afrika) zikiwa ugenini, Simba ikitoa sare kwa taabu sana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia na Yanga ikipata ushindi wa kawaida wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Kipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko...
41 Reactions
126 Replies
10K Views
Wakati mbususu za Kigali zikichakatwa usiku huu, huko Ndola ni usiku wa lawama. Kipa la CAF limegoma kuingia kwenye mfumo.
10 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeona hii interesting Article jinsi Pele alivyojaribu ku-conquer US.., Interesting Read.... Inaonyesha all the different Peles: Pele the Deity, Pele the Brand, Pele the Soccer Evangelist, Pele...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…