LEO TWENDENI TUKAJAZE UWANJANI SAA 09:30 ALASIRI JUMAMOSI YA 16/09/2023 MECHI MUHIMU KWETU NYUMBANI LIGI KUU NBC PREMIER MASHUJAA FC Vs IHEFU FC LAKE TANGANYIKA HATOKI MTU SALAMA….
“Uchungu wa...
Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika.
Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani...
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.
Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa...
Sasa vitoto vyote vya mitaani lazima viupopoe kupata chochote kitu. Ndicho kinachoendelea hata humu JF na kwenye mitandao mingine watu wanatumia ma bundle yao na muda wao kuiandika vibaya na...
𝙆𝙄𝙉𝙂𝙄𝙇𝙄𝙊 𝙍𝘼𝙄𝙎 𝙀𝙉𝙂 𝙃𝙀𝙍𝙎𝙄 𝙎𝘼𝙄𝘿 𝘼𝙈𝙀𝙎𝙃𝘼𝙇𝙄𝙋𝙄𝘼
Rais wa Yanga Eng Hersi Ally Said amewanunulia tiketi mashabiki wote wa Yanga leo ambao walisafiri Kutoka Tanzania kuja Rwanda kwa ajili ya mchezo wa...
Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu.
Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba...
Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila.
Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili...
Reporter wa Clouds FM radio ambaye yuko Zambia, Nassib Mkomwa amesema uongozi wa klabu ya Simba SC umewanunulia tiketi mashabiki wote waliosafiri kwenda Zambia kuisapoti timu ya Simba SC.
Sent...
Mwambieni GENTAMYCINE nataka namba Tisa acheze Jean Baleke na namba Kumi acheze Mshambuliaji wangu ninayemkubali Simba SC yote Moses Phiri.
Na ole wake katika Dimba la Chini ( Namba Sita )...
Igweee!
Naomba niende directly kwenye Point:
Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa...
"Mashabiki wametuangusha sana,Kama uongozi tumesikitika sana kuona mashabiki wachache ndio wanaenda Zambia kuishangilia Simba"
AHMED ALLY,Afisa Habari Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo.
Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi...
Mm kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria
Timu yangu pendwa toka utotoni ipo fainal kuchukua kombe letu mapema dhidi ya timu dhaifu iliyoshindiliwa...
Shirikisho la Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu IFFHS limetoa Orodha ya klabu 20 za Africa (CAF) ambazo Zina alama nyingi (Points) Kwa kipindi Cha Miezi 12.
Points hizo...
Imebainishwa kuwa winga huyo amepewa zuio la kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza cha Manchester United hadi atakapomuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag.
Ametakiwa kufanya...