Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama kuna mtu anajua huyu yuko wapi atujuze, maana simsikii na hata taifa stars hachaguliwi.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Na Mashabiki wa Timu yako wengi wao wasivyo na Akili wakaanza Kuamini kuwa Five Five za Kubahatisha FC watamsajili Kiungo Mshambuliaji Makabi Lilepo na hatimaye dirisha la Usajili limepita Jana...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
• Shaffih Dauda: Yanga wana timu bora sana msimu huu. • Edo Kumwembe: Yanga bado wana timu imara sana kwenye Ligi yetu, maingizo mapya kila mtu ameona, yule Yao apunguze kuwa serious. • George...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Huu uzi uwe maalum kwa wale wote wanaoidiss klabu ya Yanga na sasa waonapoona mafanikio watasema yote yaani wataukubali mziki mnene. Jamaa wakifunga goli hata 5 wanakuja golini kwako kama nyuki...
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili. Jana alikuwa anatoa...
17 Reactions
88 Replies
7K Views
Mpira wa Kibrazili unakupa Matokeo japo kwa kila mara Kumuomba Mungu, ila baada ya Mechi unalazimika kutafuta Panadol Extra na Dawa za Kushusha Presha ili Unywe. Mpira wa Argentina tangu unaanza...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Timu zote zimefanya usajili mzuri , hivyo Zina vikosi vyenye wachezaji bora. Tofauti Ni Moja tu na kubwa kwa hizi timu kwa Sasa. Yanga wanacheza kwa kujituma na kujitoa kwa asilimia zote...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Klabu ya Young Africans iliyo Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mira wa Miguu (FIFA) baada ya...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
›› '𝙒𝘼𝙉𝘼𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼 𝙒𝘼𝙏𝙐𝙇𝙄𝙀' Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC "Wanasimba watulie wasipende kukosoa kila kitu, kwamba timu haichezi vizuri.. Soka ni mchezo wa mchakato, chemistry haiwezi kupatikana kwa...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni shabiki lia lia wa SIMBA ila napenda kuangalia izi mechi za yanga kutokana na ili PIRA GAMOND wanalocheza kiukwel WANANCHI wanapiga mpira mpaka kuna muda nahisi kuwa wametudanganya hii sio...
16 Reactions
25 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga bado inatumia picha ya Fiston Mayele kwenye cover ya ukurasa wao wa mtandao wa kijamii wa Facebook ilihali nyota ni mchezaji wa Pyramids. Hii imekaaje kitaalamu, ni sawa au sio sawa??
0 Reactions
7 Replies
557 Views
Mashindano ya siku Tatu ya drafti kitaifa yameanza leo huko Chunya, Mbeya. Leo yamechezwa makundi na 16 bora. Walioingia 16 bora ni hawa. RATIBA RASMI YA MASHINDANO YA DRAFTI KITAIFA...
7 Reactions
96 Replies
6K Views
Baadhi ya waandishi na mashabiki (Timu pinzani) wamefurahia swala la Fiston Kalala Mayele "Predator" kukubali offer ya Pyramids na kusisitiza kuwa Yanga haitakuwa na makali msimu unajao. Yanga...
11 Reactions
86 Replies
7K Views
Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili...
21 Reactions
252 Replies
15K Views
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Jana Simba ilimpa mkono wa kwaheri Peter Banda. Katika tukio nitakalomkumbuka zaidi ni katika mechi ya Simba vs Singida ya msimu uliopita, ambapo alifunga goli halafu baadae akaumizwa. Tukio...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Ten Hag ‘achanganyikiwa’ kwa kukosa timu ya kumnunua Harry Maguire na wengine kadhaa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag yupo anaumizwa kichwa na hali ya klabu yake kushindwa kuwauza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Draw ya Uefa Champions League inafanyika sasa kutoka jijini Monaco nchini Ufaransa Jiunge Nami kukuletea Draw hiyo Je chama lako litapangiwa na nani? Group A: Bayern Munich, Manchester United...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Hizi ndizo baadhi ya timu dhaifu ambazo zitaingia makundi na zote zitawekwa port 4 na 3 isipokuwa MAZEMBE =>Medeama/ Horoya =>Big bullet/ To Mazembe =>Al Ahly Benghazi/ ASEC Mimosas =>Real...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama ilivyokuwa kwenye mkeka wa Teuzi za Mawaziri na Makatibu wa Wizara mbalimbali kutoka baadhi ya Waheshimiwa walikuwa bize kuangalia kama wametokea kwenye mkeka huo ndivyo ilivyokuwa kwa wadau...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…