Kwa mwendo wa kipigo cha 5G kwa timu pinzani, ligi ya NBC, ambacho Yanga inakitoa, na ndio mwanzo wa kikosi kinajengwa na Timu mpya ya ufundi, chini ya kocha Gamondi.
Nashauri:
Yanga ipangiwe...
Droo ya Raundi ya Tatu ya Kombe la Carabao Cup imepangwa ambapo timu kadhaa za Premier League zimepangwa kukutana kuwania taji hilo ambalo bingwa mtetezi ni Manchester United.
Mechi...
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Simba kucheza mpira usiovutia, au wengine wanaita papatu papatu. Kuna wengine wamekuwa wanasifia uchezaji wa Yanga hivi sasa. Ngoja niwagusie mbinu mojawapo...
Kutokana na ubora wa Max, Yao, Aziz Kii na Pacome ni dhahiri kunawakera sana SIMBA NA AZAM. Rai yangu ni Yanga ifanye kila iwezavyo kuwalinda hawa wachezaji ili kuepusha KUHUJUMIWA kama...
Kiukweli ni jambo liliniumiza kichwa baada ya wachezaji kadhaa kutangazwa kuachwa au kuruhusiwa waende wapendapo.
Yannick bangala - Huyu tuwe wakweli alikuwa bora sana msimu uliopita licha ya...
Magolikipa wa NBCPL wanaweza kujifunza mambo kadhaa kutoka kwa Diara. Katika mechi ya jana kati ya Yanga vs JKT kuna mipira ilipigwa kwa Diara ikaokolewa vizuri, lakini ikawa na madhara kwa...
Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi?
Nje ya mada
Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga...
1. Wana Uyanga mwingi
2. Wana Unafiki
3. Wana Dharau
4. Tajiri yao hashauriki
5. Laana ya Usaliti inawagharimu
6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga
7. Wana Ushamba unaowaponza...
Yanga SC ni Wajanja na wana akili sana kwani kwa Miaka hii Miwili kila Kipindi cha Usajili kikifika tu Wanajifanya Kutangaza kumtaka Mchezaji fulani na Simba SC kwa Upumbavu wetu (narudia tena kwa...
Salaaam Wanamichezo
Ngoma ilianzia katikati ya msimu wa mwaka jana bwana mdogo Feisal aliejiona ni mkubwa kuliko timu akaambiwa dogo tulia huu ukubwa tumekupa sisi, na sisi tunaweza bila ya wew...
"Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili...
Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye...
Abdul Kareem Popat amekuwa CEO wa Azam FC kwa zaidi ya Miaka 7. Huyu ndio CEO ambae hana presha kabisa ya kupoteza kazi yake kutokana kutopewa presha ya mafanikio pale Chamzi Complex.
Kipindi...
Kwa uelewa wangu mdogo wa boxing baada ya kuufatilia ni kwamba,
Points zinapotangazwa mfano 56 kwa 59 bila kutaja majina ni kwamba yule bondia aliyeingia mwanzo points zake ni zile zinazotajwa...
Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana.
Hali ikiendelea hivi kwa...
Simba SC hawaoni aibu kwa kiwango chao? Mimi ni Simba sc ila kwa yanayoendelea kwenye frog huko inaniuma sana.
Mda mwingi najiulza kwa nini Simba wachezaji wao hawajitumi uwanjani? Uchezaji wa...
Kocha hana mpango na mfungaji bora, kocha anataka magoli, kocha an at a mchezaji yeyote ambaye yupo ndani ya box anatakiwa kufunga goli, kocha hataki ufalme wa mchezaji, kocha anataka ufalme wa...