Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

ZFF WAWEKA NGUMU WACHEZAJI KUTOKA TANZANIA BARA. [emoji1542]KWA LIGI YA ZANZIBAR MCHEZAJI KUTOKA BARA ANASAJILIWA KUWA NI MCHEZAJI WA KIGENI [emoji3502]Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
"Leo nimegundua kuwa kumbe Mazoezi niliyoyafanya hayakuwa sahihi kwangu na nilipofika Kilomita ya 30; kuelekea ya 35 sikuona haja ya kuendelea hadi Kilomita 42 tulizokuwa tunakimbia, hivyo naomba...
14 Reactions
37 Replies
5K Views
Diamond naomba tumuwekee exception asiwepo, hata kwa sasa pesa anavuna zaidi kwenye uwekezaji Binafsi nachoona ni wasanii ni wachache sana wanaoingiza hela kwa mziki pekee, kinachoumiza wasanii...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mpaka sasa ni dk ya 52 mashindano ya shirikisho vs jku ya Zanzibar. Hawa singida TOFAUTI Yao na mbagala market ni udhamini WA sportpesa tu. Kiufupi hawana jipya zaidi ya promo na kukamia mechi ya...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
GSM anayaweza ya kimjini mjini, vipi Mo? Tajiri wa wananchi anamfurahisha bebi wake. Kakosekana mjomba'o tu hapo, Manara.
23 Reactions
105 Replies
8K Views
Aucho hajacheza. Mudathir hajacheza. Yao Yao hajacheza. Skudu Hajacheza Job Hajacheza Lomalisa Hajacheza Faridi Hajacheza This Can't be football wachezaji Key player 7 hawajacheza na bado...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
Wazee wenzangu wa kubet kuna majeshi yanapewaga odds nzuri halafu yanatembeza vichapo balaa sema wadau hawajayashtukia. Embu tutililike nayo leo. Mimi naanza na union berlin ya bundersliga
0 Reactions
4 Replies
813 Views
Jana Agosti 27, 2023 Katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika amekuwa mgeni rasmi katika fainali ya mashindano ya mpira mguu ya Nungwi Super Cup yaliyoandaliwa na Chadema Zanzibar ndani ya jimbo la...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wengi wamekuwa wakiwashutumu viongozi wa azam na benchi la ufundi kutokana na matokeo mabovu Lakini tukae tukijua tatizo la azam sio viongozi wala benchi la ufundi. Tatizo kuu la azam ni...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa moja ya vipaumbele cha wizara kwa mwaka wa fedha 2022/24 ni kuimarisha miundombinu ya michezo kwa kujenga Viwanja...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu Nahitaj kufaham jinsi ya kuwa na Verified Account ya Bet365 1.Vigezo vyao na mashart 2.Vitu vinavyoitajika ili kujiunga 3.Jinsi ya kuweka hela 4.Jinsi ya...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Baraka Mpenja kawa wa hovyo sana! Badala ya kutangaza mpira yeye kazi yake kusifia WANDENGEREKO tu, hata kwa vitu vya hovyo Yote hii ni baada WANDENGEREKO waliandika barua Azam kulalamika kuwa...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
John Bocco kwanini apate nafasi , halafu kina Chilunda wakose nafasi ? Kwaninii kina Onana wapate nafasi halafu kina Mohammed Mussa wakose ? Mbona Yanga anatoka Aziz Ki anaingia Zawadi Mauya ...
23 Reactions
31 Replies
3K Views
Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁 Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu...
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Na hapa sijazisemea zile nne nne ambazo wamepigwa sana hadi moja Kipa Peter Manyika alimuomba Mzee wa Kiminyio Madaraka Selemani asimfunge goli la 5 kwani wangedhalilika na yeye asingeaminika tena...
4 Reactions
8 Replies
807 Views
Miye nimefikisha tisa,Ile iliyopita nilifikisha sita Kuna mdau humu aliyegonga kumi na tatu humu!!? Maana siyo Kwa droo zile aisee
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Wakuu naangalia Mbio za Dunia kupitia ZBC2, mwanzoni nilimuona katika kundi la kwanza, Mtanzania mwenzangu tena alikuwa kwenye Kumi Bora. Baadaye sikumuona tena na mwish.oni washiriki karibu wote...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanariadha wetu, wa kimataifa wa riadha tanzania , Gabriel Gerald Geay anatarajia kushiriki mashhindano ya Sydney - Marathon , inayotarajiwa kufanyika tarehe 17 Septemba, 2023. Anaenda kushiriki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana Azam alikuwa ashinde zaidi ya mabao 5, mchezo wa leo pale chamazi ambao wa Djibout wamekufa 5 1 ndio ulikuwa mchezo wa jana ambao Azam wangeshinda, na mchezo wa jana ulikuwa wa leo, Azam haya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Uamuzi huo umechukuliwa na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na kitendo chake cha kumbusu mdomoni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Uhispania, Jenni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…