Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hivyo mjipange kwa mipango mingine, msidhani tutarudi na kikosi hiki hiki mechi ijayo. Kuna kikosi kingine kipo nje. Hawa hapa hawakuanza jana kabisa;- Metacha/Mshery Kibwana Nickson Kibabage Job...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna picha inajengwa na baadhi ya watu kuwa Simba ni wanyonge Wa Azam FC. Jee Kwa misimu mitano iliyopita kwenye mashindano yote timu hizi zilipokutana, Azam wameifunga Simba mara ngapi??
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana. Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama kuna Timu kwa sasa itakuwa ni ya Pili Kwangu Kuichukia baada ya ile nyingine inayojulikana na kila Mtu kuwa naichukia zaidi basi itakuwa ni Azam FC. Timu imejaa Unafiki na Uyanga mno.
0 Reactions
7 Replies
746 Views
Soka ndio mchezo ulio sambaa zaidi Duniani, ndio mchezo unao fuatiliwa na watu wengi zaidi na ndio mchezo una tengeza ajira nyingi zaidi kwa wanamichezo!, Kwanini? Sababu kubwa ni kua kwenye soka...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana. Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo. Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Mzee wangu Kocha 'Jeans Hiyo Hiyo' usikasirike hapo ulipowekwa kwa sasa kwani umewekwa Kimtego ila muda wowote unarejea Kikosini. Mshambuliaji tunayekupenda na Kukubali kuliko wote walioko...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Nijijibu mwenyewe kuwa ukubwa wa timu ya Azam UPO KWENYE RASILIMALI HASA KIWANJA, TV NA VIWANDA NA WALA SIO UWANJANI. Uwanjani Timu ya Azam ni sawa tu na Coastal Union, Moro Utd, Mtibwa , Ruvu...
1 Reactions
5 Replies
966 Views
Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanacheza mpira tofauti sana na ule wa Prof Nabi. Hawategemei kukaa sana nyuma, wanakabia katikati ya Uwanja kukunyima nafasi ya kupiga progressive pasi huku wakimlazimisha mpinzani kupiga mipira...
19 Reactions
20 Replies
2K Views
Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa; "Samahani Mtangazaji Azam...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Unaambiwa jamaa ni Didier Drogba mtupu, hakabiki wala hazuiliki. Ndiyo, ni straika mpya wa Azam Fc aitwaye Alassane Diao ambaye ni kipande cha mtu. Mabeki wa NBC PL hasa type ya akina Dickson Job...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Leo Azam ashindwe mwenyewe, kiukweli akishindwa kumfunga Yanga Leo hatomfunga tena maishani mwake, Yanga ni mbovu mbovu, inasubiri Dube t aweke. Upangaji wa kikosi wa Gamondi unatoa shaka kama...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la...
12 Reactions
399 Replies
26K Views
Ni suala la muda tu pumba na mchele vitajitenga, nimeona timu zote Azam, simba na Yanga na nimejiridhisha ya kuwa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio Wananchi waendelee kutamba mjini bado...
13 Reactions
34 Replies
3K Views
RAFIKI yangu Ibrahim Ajibu Migomba amekwenda katika timu yake ya tano Ligi Kuu Bara. Timu yake ya pili nje ya Jiji la Dar es salaam. Haikutazamiwa kuwa mapema hivi lakini ndio hali halisi. Ndani...
2 Reactions
1 Replies
954 Views
habarini wanajamvi ,naanza kwa salaam nyote humu naimani mpo njema. Katika majina yaliotajwa ya wazee waliosaidia ukombozi wa nchi hii basi jina AZIZI ALLY utolikosa kwa mchango mkubwa walioleta...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu...
23 Reactions
257 Replies
7K Views
Najua baadhi ya watu (waliokutwa na tatizo) wamekereka na kukwazika na usumbufu wa kuwa na tiketi na kutoingia ndani jana Uwanja wa Taifa katika Simba Day. Nichukue nafasi hii kuuomba Uongozi wa...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…