Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko
Wakati tuluiwa kwenye maandalizi heavyweight ya siku ya Simba day Kuna kauli kadhaa zimetolewa
1. Tamasha bila kombe ni kitchen party
2...
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi.
Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa...
Uongozi wa timu ya Soka ya Simba mapema leo wamekutana na wajumbe kutoka AFRICAN FOOTBALL LEAGUE kwa ajili ya kujadili sherehe za Ufunguzi wa Michuano ya African Football League mwezi October 2023...
🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago.
(Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu...
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwanini uendelee kubaki nae wakati msimu haujaanza bro? Hivi kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya...
Wewe ni mbrazil, umewaangusha wabrazil wenzako, jana ilikuwa Simba day, siku ambayo tulipaswa kuona wachezaji wapya bila kujali matokeo, haukuwa mchezo wa ushindani kusema unatafuta points au...
GENTAMYCINE sijashangaa sana kwa hili la Ali Kiba ( mwana Yanga SC lia lia kwa 100% ) kuhamia Simba SC kwani kama Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ni mwana Yanga SC lia lia, Msemaji wa...
Poleni na heka heka za weekend.
Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023.
Kesho sijui...
Wakati maelfu ya Watanzania kutoka kila pembe ya nchi wakiacha shughuli zao na kuelekea Lupaso kushuhudia ‘Wenye Nchi,’ Klabu ya Simba ikiukaribisha msimu mpya kwa tamasha lililofana, kikosi cha...
Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi...
Rais Samia ameagiza kibegi Cha Simba kishushwe kama kiliachwa huko ili kuepuka kuwakanganya watalii.
Tusilete utani kwenye njia zetu kuu za uchumi. Watalii hawataelewa kukuta kibegi huko kileleni.
Uamuzi huo unaweza kuchukuliwa ikiwa ni miezi 7 tangu aliposajiliwa akitokea Chelsea kwa dau la Pauni Milioni 12, sababu ikitajwa ni mambo kutomuendea vizuri.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31...
1. JIFUNZE KURIDHIKA.
Mchezo wa Kubashiri, ni moja katibya mchezo wenye matamanio na wenye mvuto mkubwa sasa, Sasa brothers, wawekezaji, Jifunze kuridhika kile ulichokipata Baada ya Kubet Usibet...
Timu ya ya wanawake ya Ufaransa inaelekea kuja kuwa tishio kubwa kwa marekani, kwani watoto hao nililiwaona wana ball controll ya hali ya juu sana. Ingawa wachina wamefungwa na ujerumani, ni...
Pamoja na promo kubwa iliyofanyika kupromote makala ambayo hata Mtibwa wameshafanya, mwitikio umekuwa mdogo sana leo kiasi kwamba Yanga imeshindwa kujaza kaukumbi kadogo tu ka sinema.
Hawa...
Kwanza Kabisa mimi ni mshabiki wa Yanga, lakini kuna jambo moja linaweza kuonekana lipo vizuri lakini linakwaza. Nimeshalipia App ya Yanga Mara 3 lakin sipati access ya kusoma habari za yanga...
Kuna watu wanalalamika kwa nini vyombo vya habari Tanzania sio wazendo
Wanazungumzia saana mayele na wakati msuva alifunga
Ndugu zangu nimeshawahi kupost habari fulani hapa kuhusu mayele mwaka...
"Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi...