1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC
2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC
3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo
4. Yanga SC Kushindwa Kesi na...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma Agosti 3, 2023 amehudhuria maonesho ya kimataifa ya Michezo ya Havana, yanayofanyika nchini Cuba na kuhudhuriwa na washiriki kutoka...
Godwin Aswile Mulimba
Beki wa kati aliyepata sifa kubwa kutokana na uchezaji wake wa kutumia nguvu na akili kwa pamoja huku akiziba vizuri makosa ya mabeki wake wapembeni pindi inapotokea...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) hivi karibuni limetoa orosha ya vilabu vinavyoongoza kwa ubora barani humo kwa mwaka 2023.
Watani wa jadi nchini Tanzania Simba na Yanga wameonekana...
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.
Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/...
Baada ya dili lake kutokwenda vizuri na walima ALIZETI wa Singida Fountaingate ya mkoani Singida hatimaye aifuata OFA ya Kocha wake wa zamani NABI pale AS FAR RABAT.
GENTAMYCINE naomba baada tu ya Tamasha Kubwa la Simba Day tarehe 6 August, 2023 mambo haya Mawili muhimu sana yafanyike kabla Timu haijaenda Tanga kwa Mechi za Ngao ya Jamii na kuanza kwa Ligi Kuu...
MultiChoice Tanzania (DStv Tanzania) wametoa onyo kali kwa Watu wote wanaosambaza au kurusha kwa njia yoyote ile ikiwemo kwa njia ya waya (cable) matangazo ya ligi kama Premier league, UEFA...
Updates
Updates
Tiketi za Simba Day ziinapukutika. Ukisubiri kukata siku ya mechi utaumbuka. Kachukue leo kama sio leo. Hakutakuwa na fungulia mbwa kama Yanga
Akifafanua hali ya sintofahamu inayoendelea kuhusu mchakato wa uwekezaji unaendelea kati ya Klabu ya Simba na mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi Mkuu Tume ya Ushindani (FCC), William Erio...
ALIKUJA, aliona, alitawala, ameondoka. Fiston Kalala Mayele. Mara yangu ya kwanza kumuona ilikuwa ni katika jiji la maraha la Marrakeich pale Morocco katika maandalizi ya msimu mpya Julai 2022...
Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona...
Nawaangalia hapa Singida wakicheza na As Vita, aisee jamani jamani, kama ligi haitokuwa na ungese, nna uhakika [emoji817] wakongwe hawawezi kubeba ubingwa. Singida wamekamilika kama ilivyo Simba ...
Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia?
Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na...
Ukistaajabu ya kule utayaona ya huku, yes Yanga imekua topic mjini na vijijini, walipata kusema mti wenye matunda ndio hupigwa mawe na ule usio zaa au kuwa na matunda hukatwa kabisa.
Yanga ni mti...
Hawa jamaa Tyson na mwenzake Crawford si chochote si lolote kwa kifupi ni waoga kupindukia.
Hawa wote wawili wana mkanda mmoja mmoja , Tyson ana WBC Super belt, na Crawford ana WBO lakini...
Hakika huyu alikuwa CEO wa shoka. Enzi zake Simba kulikuwa na vibe sana na mafanikio tele. CEO wa sasa hata jina lake halijulikani.
Watu kama Gentamycine and Co wamemwandama dada wa watu mpaka...
Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi.
Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba...