Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji AFCON 2027, kutoka Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) imehitimisha ukaguzi wao salama Agosti 2, 2023 Zanzibar kwa kikao...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao. Ikumbukwe basi lile...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee. Mayele mchezaji na...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika hali ya kustaajabisha timu ya simba sc imewafanyia vipimo vya afya wachezaji wake wapya 9 baada ya kuingia nao mikataba kabisa na kuanza pre season huku nchini uturuki MASWALI 1...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
SINGIDA BIG DAY Hii Singida itashika nafasi ya pili au tatu Wana usajili mzuri sana wa wachezaji wazoefu.
2 Reactions
44 Replies
5K Views
KAMA kuna mchezaji ambaye alikuwa anapendwa na Wanayanga miezi 12 iliyopita mmojawapo alikuwa Yannick Bangala. Watangazaji wa Azam TV walimuita Mzee wa Kazi Chafu. Kuna wachezaji walionekana...
2 Reactions
5 Replies
951 Views
Tukiwa tunaelekea kwenye maadhimisho ya wana-lunyasi "Simba Day 2023" basi matukio na hisia tofauti zimeanza kuipamba siku hiyo. Kati moja ya matukio hayo, basi ni yale aliyoya-eleza Kibu D...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
"CAF imeweka utaratibu mpya wa Timu ambazo hazianzii hatua ya Awali Kombe la Klabu Bingwa na zipo katika zile Timu Nane zitakazoshiriki Michuano mipya ya Afrika Super Cup zenyewe zitaendelea...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores...
2 Reactions
2 Replies
801 Views
Ukiondoa maneno aliyoyazungumza mwenyekiti Mangungu Kama msemaji wa timu maana ameshindwa kabisa kujitofautisha yeye na hao waropokaji wa timu za kariakoo (Ahmedy na Ally kamwe). Nimesikiliza...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Bongo hakuna kuhama kuna raha yake bwana, wakati mtifuano ukiwa umepamba moto kwenye mitandao ya kijamii kati ya Ali Kiba na Diamond Platnumz hatimaye Kiba kafanya maamuzi magumu na hii ni baada...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Timu ya soka ya Vipers ya Uganda leo imeshinda katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kagera Sugar ya Tanzania. FULL TIME: Vipers 2 - 1 Kagera Sugar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimemuona kiungo wa Togo Malouf Tchakei. Jamaa anajua jamani, anapiga faulo za hatari Bruno gomez cha mtoto, ana control, ana ball brain, ni kiungo hasa soo masihara. Simba vs Singida kazi ipo
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tuwakumbuke marefarii wa zamani waliowahi kujipatia umaarufu katika mchezo wa soka. Wanaweza wakawa ni wa hapa Tanzania, Afrika au hata Ulaya. Karibuni
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Huyu dogo alidanganywa sana eti kutosajiliwa timu za ndani. Kama kuna mchezaji yeyote mwenye ndoto za kucheza ulaya unaachaje kusajiliwa Simba? Ujinga mnaojazwa na hao madalali unawafanya mjutie...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Wachambuzi wetu ni low profile, tuwasaidie kuwaandalia ajenda. Mayelle aliletwa Yanga na viongozi wa Yanga, kabla ya kuletwa Yanga alikuwa hatambuliki na wachambuzi wetu. Mayelle alikuwa na kipaji...
15 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Rais wa nchi Samia Suluhu Hassan na jina la Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa. NALIA NGWENA nilikua naangalia nini kitu...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukweli wote huu hapa kaongea mwenyewe siongezi neno wala sipunguzi neno Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Jezi ya Rais wa Heshima wa klabu, Mohamed Dewji 'Mo' imeuzwa Sh. 2,000,000 na Duka la Vifaa la Michezo la Romario Sports katika mnada unaoendelea katika Ofisi za Azam TV ikiwa ni ahadi...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu? Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa...
4 Reactions
4 Replies
890 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…