Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa.
Swali langu ni, huu uwanja...
Unamuona huyu mdada pichani? Hana furaha. Uwanja mzima unashangilia goal matata la Ronaldo ila yeye hana amani.
Mwaka 1998, Timu ya taifa ya Brazil ilielekea Ufaransa kucheza michuano ya kombe la...
Mwaka 2027, Tanzania, Uganda, na Kenya zitakuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon). Hata hivyo, maandalizi ya mashindano haya bado ni hafifu, na hadi sasa hakuna viwanja vya...
1. GOAL LA TSHABALALA
Goli la ufunguzi la Siphiwe Tshabalala alilolifunga dhidi ya Mexico kwa shuti kali la mguu wa kushoto lililomshinda mlinda mlango Oscar Perez. "Goal for Bafana Bafana, goal...
Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC
itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku...
I salute you kinsmen
Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu
Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao...
Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF.
Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza...
Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa...
Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na...
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga
Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na...
Huitaji uwe na digrii kulijua hili.
Na huyu Kocha mpya hatakuwa na muda mrefu ama atafukuzwa,ama atajiondoa Mwenyewe kama alivyofanya Mzee Said Ramadhani.
Pale Yanga Lipo tatizo litakaloendelea...
Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika- Mo - "Time ya Ushindani (FCC) imeshatupa ruhusa, hivyo mchakato wa mabadiliko ya Simba umekamilika, tumepewa vipengele vichache vya kufanyia kazi kama...
Jana jioni Nilipita hapo maeneo ya Jangwani nikaona greda zipo kazini, nikajiuliza maswali mbalimbali.
Mojawapo ya maswali yaliyonijia kichwani ni hivi kweli hawa Yanga wapo serious kujenga...
Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa...
Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, makamu wa Rais...
Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na Kocha Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kodro.
Katika hatua nyingine, Klabu ya Young Africans SC...