Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa namna ambavyo tunamfahamu Twaha Kiduku akiwa Ulingoni, mazoezini unahisi nini kimechangia Bondia huyu mwenye kundi kubwa la Mashabiki kila kona ya Tanzania kuchakaa katika ardhi ya nyumbani?
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Yaani Timu iliyobeba Ubingwa na kufika Fainali ya CAFCC katika Siku yao ya Wananchi pamoja na baadae Kuruhusu Fungulia Ng'ang'a ( Mbwa ) Uwanja wa Mkapa haukujaa na hata kule Shamba la Bibi (...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Nadiriki kusema hivyo kwasababu inasemakana bwana yule mahop alifika mpaka Dar akaomba mshahara wa milion 35 per month na alipwe pesa yote ya signing fee. Jaman nina maswali mengi aana kichwani...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukijaribu kuangalia sajili za simba nadiriki kusema kwamba angalau wako vizuri japo nadhani walikua wanahitaji angalau wapate beki mmoja ambaye anaweza kumpa changamoto Inonga. Nasema hivyo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Hamasa ya Wiki ya Simba katika Uwanja wa Buza Kanisani. Huko wamekuja na Kibegi Part Two ambapo mashibiki mamilioni watashindana kupata tiketi 20 za Platnum. Mashabiki hao watashindana kwa kutuma...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Simba ni sikio la kufa. Nilimtumia Email Kajula. Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa. Nikaambatanisha na mifano. 1. Dejan. 2. Santos. 3. Wilker Da silver. 4. Fraga. Lakini wapi. Leo...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Timu pendwa ya wananchi imekua na utaratibu wake mzuri, kambi ndani ya nchi ,mechi za kirafiki wanakipiga na Kombaini na teams za ligi daraja la tatu hadi nne. Jambo jema ila tahadhari yule...
3 Reactions
9 Replies
814 Views
Zanzibar wana wimbo wa Taifa ila naangalia hapa U 18 watoto wao hawaimbi kabisa huo wimbo, vivyo hivyo hivyo kwa Tanganyika ambapo nimeangalia na kuona watoto hawaimbi kabisa wimbo unapopigwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuchukue misimu miwili ya Kagere alipojiunga Simba tuache misimu inayofuata ili tumlinganishe na Mayele. Msimu wa Kwanza Kagere ana magoli 23 Msimu wa pili ana magoli 22. Mayele msimu wa Kwanza...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu wa jukwaa, kama mnavyofahamu kesho ndio kesho. Usiku wa Ulaya unaanza kwa msimu huu. Mimi nimekuwa mdau wa mpira kwa muda mrefu, ila hawa Dstv wanakwama wapi? Mbona wenzao Canal+ wako na bei...
3 Reactions
105 Replies
18K Views
  • Poll Poll
Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko. 2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe (...
24 Reactions
24 Replies
2K Views
Njia pekee ya kuiondoa Simba kwenye mstari, Simba hii ambayo nna uhakika tukiwa wamoja hakuna, nasema hakuna, narudia hakuna wa kutoa sare nayo ni kuwagombanisha wenyewe kwa wenyewe ilk wenye timu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027, leo hii Julai 31, 2023 wapo Zanzibar ambapo wamekagua Uwanja wa Amaan, hospitali ya...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Acha kabisa, timu zimesajiki na kila timu inataka kuwafunga yanga inabidi Yanga tukaze buti kwelikweli.
1 Reactions
5 Replies
917 Views
Simba watakuwa mabingwa Azam watafuatia Singida wa tatu Ihefu wa nne Tabora United wa 5 Coastal Union wa 6 Namungo wa saba Yanga watashika nafasi ya nane
8 Reactions
20 Replies
2K Views
#1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni. #2. Mchezaji...
23 Reactions
43 Replies
5K Views
Baada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao. Klabu ya Simba imeanza kutafuta...
8 Reactions
87 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…